Vijana wa Dar wananiita mshua

Vijana wa Dar wananiita mshua

Sikuhizi watoto wanateleza tu hakuna mapoda wala nini😎
Mna bahati sana
Sijui kuna pempasi hakuna kufua matambala
Kuna sijui babywalker
Kuna bebeonsijui linaitwaje hakuna mbeleko..
Nakushangaa wewe sijui kwanini unachelewa kula maembe mabichi na pilipili.😂😂
 
Mna bahati sana
Sijui kuna pempasi hakuna kufua matambala
Kuna sijui babywalker
Kuna bebeonsijui linaitwaje hakuna mbeleko..
Nakushangaa wewe sijui kwanini unachelewa kula maembe mabichi na pilipili.😂😂
Siku hizi raha sana, ni wewe tu kuamua kufyatua huku umetulia! Gharama zake ndio uzae huna maelekezo utaita maji mma! Sikuhizi wanafutwa tu hakuna mambo ya kushika nnya, mimi naanzaje sasa kuchelewa mzee😎
 
Back
Top Bottom