mfano mama angalia matokea ya form 4 yalipoanza kuwa mabaya,serikali hii ikaona bora ishushe division ndio wataokoa jahazi,kumbe hawakuwa na fikra za mbali,kuwa ndio wanazidi kuuwa taifa la baadae,na niserikali hihii ya ccm, sasa hapo nikuwadanganya watanzania kuwa wanaelimu kumbe mnazidi kuuwa nchi ili watoto wa hao vigogo wa ccm wanaosoma nje ndio waje kututawala kwa kuwa wao ndio wenye elimu bora.
Unataka ushahidi juu ya kipi kati ya Mafuso, maspika, ofisi ya chadema au pikipiki? sema![/QUO
vyote
Singasinga yupi
soma vizur hapo ashaandikwa
Huyu hapa?
yap huyo ndo mwenyewe singasinga ndani uzi wa kijani sasa uvccm watakosaje kunufaika wakina juliana shonza
Chadema ina support kubwa ya vijana ambao hawapigi kura anyway, soo watasubiri sana.
Mkuu Chakaza, maneno ya busara sana haya!, kama she has at least some little sense still left in her big empty head!, atakusikia!, lakini kama ni completely empty, yaani ni debe tupu!, then you are wasting your time!, huku ni kumpigia mbuzi gitaa!.
Pasco.
Na hiki ndicho kiingereza cha mtu mwenye elimu kubwa sanaCV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.
Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!
HahahaaaaaaaaaaI didn't find him, he finds me.
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.
Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!