Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
hihihihihihi ukweli mtupu huo hakuna uwongo hata kidogo.
Ni kweli hilo jina lako kwenye tafit ya twawezeshwa unaonyesha ni miongon mwa wanaoi support ccm.
hihihihihihi ukweli mtupu huo hakuna uwongo hata kidogo.
Bahati mbaya sana...hawa ndugu zangu huwa hawasomagi kabisa ushauri. Ila hiyo ndoto wanayoota kuwa CHADEMA itaingia Ikulu haiwezi kutokea mpaka mwisho wa dunia.
Kumbe tafiti zinasaidia.Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani.
Mkuuu huyu nimdada wamfano..aliona kuliko kua Chakula nibora aachane nao ,,nasasa yuko poaaaaaaaaaa.Kumbe tafiti zinasaidia.
Hongera sana, siku ikitokea news beat ya anga zangu, nitakupongeza rasmi.
Kiukweli Wasukuma tuko juu sana!, tulibaguliwa tuu na kunyanyaswa, sasa ni zamu yetu!.
Big up sana kwa Mwana Ngosha, nakuombea pia uyaweze yote yatokanayo, afadhali sana sasa uko CCM, ukijituma mchango wako unaonekana, unathaminiwa na inalipa, sio enzi zile Chadema, wanakutumia tuu badala ya kukulipa, wanakufukuza!.
P.
Kwa ujumbe huo tu, ndio ungependa tuamini kuwa umeamini yote hayo? Karibu tena.Kumbe tafiti zinasaidia.
Hongera sana, siku ikitokea news beat ya anga zangu, nitakupongeza rasmi.
Kiukweli Wasukuma tuko juu sana!, tulibaguliwa tuu na kunyanyaswa, sasa ni zamu yetu!.
Big up sana kwa Mwana Ngosha, nakuombea pia uyaweze yote yatokanayo, afadhali sana sasa uko CCM, ukijituma mchango wako unaonekana, unathaminiwa, unaenziwa na inalipa, sio enzi zile Chadema, wanakutumia tuu badala ya kukulipa na kukuenzi, wao wanakufukuza!.
P.
Una ukasumba wa ukabila AiseeKumbe tafiti zinasaidia.