Nashukuru kwa kumtaka Ligera kuacha kutumia lugha kali dhidi yangu, lakini naomba nikutoe shaka kuwa ligera ni kama BAVICHA wengine wamejengwa kwenye kuamini matusi, maandamano na kejeli..na hivyo maneno yako hayatamsaidia hata ingelikuwaje..
Kuhusu MAHABA uliyonayo kwangu, nadhani umechelewa tu kuyadhihirisha lakini nitumie lugha ya kigeni, i real appreciate it...lakini napata wakati mgumu sana juu ya kinachozungumzwa nyuma ya pazia dhidi yako..
Wengine inatuwea vigumu kuamini lakini waswahili wanasema lisemwalo lipo, wenzako wananong'ona ukiwa haupo kwamba eti wewe ni mfuasi wa Cameroon..mie binafsi napata mashaka kuwa minong'ono hii ina ukweli wowote ila ndio hivyo ndugu, waswahili hawa ukiona wananong'ona basi walishajaribu na kufanikiwa...
J
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
Kwanza hizo tathmini ni za kitoto kufananisha ccm na chadema huwezi kwa sababu ccm wana vitegauchumi walizopora baada na hivyo kuwa na uwezo wakuhadaa vijana wachache,Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
John Pombe Magufuli anasema:-
Aliyekua Rais wa Libya - Saddam Hussein
Rais wa Kuwait - Saddam Hussein
Bahati mbaya sana...hawa ndugu zangu huwa hawasomagi kabisa ushauri. Ila hiyo ndoto wanayoota kuwa CHADEMA itaingia Ikulu haiwezi kutokea mpaka mwisho wa dunia.sio kosa lao Juliana. wenye elimu iliyokaa sawa na wenye uwezo wako makazini - kuajiriwa, binafsi na vitu kama hivyo. wenzangu hao wameona nao chochoro la siasa. wengine wanatokeaga humuhumu. wakishika nafasi ndo watakuwa wanaongoza wenye elimu zao za maana.
wenyewe nao hii ni kazi kama zingine tu.
ukawa/ chadema ikilamba ikulu hawawezi kosa ukuu wa mikoa, wilaya, ubalozi na nafasi kama hizo. halafu watajipanga wakae madarakani kwa miaka kama 10 - 20 hivi. akitoka hapo shavu hilo. mambo safi. mungu akupe nini tena, donda? hapana
lakini binafsi naona inapendeza kuwa na watu/ wanasiasa ambao zaidi ya siasa kuna shughuli zingine za maana na zinazoeleweka - endelevu pia wanazifanya. kama wako hivyo ni sawa.
nawapenda wanasiasa wa mfano wa obama. wanakuwa na taaluma zao lakini pia wako siasani.
hapa bongo tunao kina dr. lipumba, mbowe, dr. mwakyembe, dr. bilali, dr. asha rose migiro, prof. mwandosywa, na wa aina hiyo. maana yangu hapa ni kuwa mtu anazo biashara zake, shughuli zake, au kazi yake ambayo kwenye siasa akifeli atarudi muda wowote kuendelea na kazi au shughuli yake hiyo. hatokufa njaa akitemwa kwenye siasa. hii ni safi sana. sio kuifanya siasa ndio ajira na ukikwama huku huna pa kwenda
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.[/QU
pamoja na yote uliosema vijana wa chadema wako makini katika kupiga kura na kulinda kura, hashasa uchaguzi huu wa tarehe 25
Shukrani kwa ushauri wako.Strong people don't give up when they come accross challenges, they just work harder.