Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Nilitaraji nitakutana na kipimo/vipimo vya uwezo. Kumbe neno "uwezo mdogo" limetumika kama neno la kuudhi tu.

kipimo mbona kipo bayana tu...fanya hivi pitia comments za Bavicha tangu mwanzo wa thread mpaka page ya kumi ilipofikia.
 
Hebu Juliana atueleze, kwa mfano, pale bungeni vijana gani wa CCM ambao wana uwezo wa kujenga hoja na kuziwasilisha kwa umahiri ukilinganisha na vijana kutoka upinzani, k.m Zitto, Mnyika, Kafulila, Halima Mdee n.k? Kama wana uwezo mdogo, ilikuwaje suala la mgodi wa Buzwagi lililowasilishwa na Zitto ndiyo lilikuwa chumbuko la mageuzi ya seka ya madini hapa nchini? Au umesahau kuwa suala la mabilioni ya Uswisi limeibuliwa na mmoja wa hao vijana unaodai kuwa wana uwezo mdogo? Labda nikukumbushe pia - japo ni suala ambalo halina hata zaidi ya miezi 2 - kuwa scandal ya Tegeta Escrow limeibuliwa na David Kafulila - kijana shupavu kutoka upinzani. Hivi Juliana unatumia vigezo gani vya kupima uwezo wa hao vijana. Ninakupa challenge - hebu tueleze hata kijana mmoja tu kutoka CCM ambaye ameleta suala linalotambulika (recognizable contribution) kwa uzito wake bungeni.
 
Ben Saanane naomba ujibu hii kashfa uliyotupiwa wewe na chamachako
.heshimu kazi ya kichwa mkuu.huyo shonza nafikiri ndoa imeanza kumshinda na kakosa ukuu wa wilaya. sasa anabwabwaja tu maneno ya hovyo hovyo kwa sababu na yeye ni wa hovyo hovyo,na chama lake la kihovyo hovyo.mara ingine wazazi wanazaa halafu wanajuta kuwa na watoto wa aina fulani fulani.pole mzee shonza.ulikosea kumpa laana mapema huyu mchumia tumbo shonza
 
hauna akili yenye kuweza kupambanua uwezo wa mtu, sikushangai.

Mngekuwa na uwezo ama akili hiyo msingechukua disco joker kuwa m/kiti wenu na kumfanya kiumbe kilichomsaliti mungu kuwa ndio mtendaji mkuu wa chama chenu.
unanichekesha sana.naona unajisifu kuwa umesoma na una akili nyingi.interesting binti!!!!!ningefurahi kama uwezo huo ungeuonyesha hapa kwa kujenga hoja na si bla bla tu!!!tumia akili unazojisifu kuwa nazo kujenga hoja,hivi uliyoandika hapa wewe unajilinganisha na mbowe??????mbowe anaweza kweli kuzungumza vitu hopeless kama hivi kweli??????what an insult!!!!!!poor girl.
 
Njaa mbaya sana unaweza ukasifia kitu ambacho hata hakistahili kukisifia lengo upate kitu fulan mi nafikiri umechelewa hata ubalozi wa nyumba kumi huwezi pewa.Hivi ww watu kama akina Makonda malezi yapi waliyopewa kupiga wazee waliowazidi penginge hata na baba yake?au malezi yapi unayoyasema ww. Maana huko hakuna kitu kabisa. Acha kusifia ujinga ila haishangazi mahali ulipo na upeo wako ni sahihi.Ama kweli akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa
 
Mimi nashangaa kwanini mnapoteaza muda kumjibu huyo. Ina maana hata maana ya elimu hajui, na elimu haimfanyi mtu kuwa kiongozi. Zaidi ya yote angebainisha na kwenye chama chake amemshinda nani na kashindwa na nani, tatu atutajie waliokuwa na elimu walivyotawala dunia na wasio na elimu wailvyotawala dunia. Nataka nimuhusie tu licha ya kwamba nilikuwa napita, walianzisha TAA walikuwa wacheza bao kaliakoo, walioishia darasa la pili hadi la nne, ndio hao wakaifanya ikawa TANU, na ndio hao waliomchangia Mwl Nyerere nauli ya kwenda London. Sijui kama anauelewa vzr au elimu yake haijamkomboa. Nne rais wa 44 wa Marekani Bill Crinton hana shahada yeyote ile, lakini ndio rais alieiongoza Marekani kwa mafanikio makubwa duniani. Jamani mkiona thread za huyu bint si mziache tu, maana mnapaisha. Napita.
 
Kumbe kiongozi anatengenezwa? Angalia usije ukawekwa kwenye tanuli la moto ukafia hukohuko.
 
Hebu Juliana atueleze, kwa mfano, pale bungeni vijana gani wa CCM ambao wana uwezo wa kujenga hoja na kuziwasilisha kwa umahiri ukilinganisha na vijana kutoka upinzani, k.m Zitto, Mnyika, Kafulila, Halima Mdee n.k? Kama wana uwezo mdogo, ilikuwaje suala la mgodi wa Buzwagi lililowasilishwa na Zitto ndiyo lilikuwa chumbuko la mageuzi ya seka ya madini hapa nchini? Au umesahau kuwa suala la mabilioni ya Uswisi limeibuliwa na mmoja wa hao vijana unaodai kuwa wana uwezo mdogo? Labda nikukumbushe pia - japo ni suala ambalo halina hata zaidi ya miezi 2 - kuwa scandal ya Tegeta Escrow limeibuliwa na David Kafulila - kijana shupavu kutoka upinzani. Hivi Juliana unatumia vigezo gani vya kupima uwezo wa hao vijana. Ninakupa challenge - hebu tueleze hata kijana mmoja tu kutoka CCM ambaye ameleta suala linalotambulika (recognizable contribution) kwa uzito wake bungeni.
Hivi Zitto ambae ameibua kashfa ya Buzwagi na Escrow na madudu mengine y Serikali ni Kijana wa Chadema..???

Huo ni ufahamu wako au ni ufahamu wa viongozi wako pia..?
 
Hauna akili yenye kuweza kupambanua uwezo wa mtu, sikushangai.

mngekuwa na uwezo ama akili hiyo msingechukua Disco Joker kuwa M/kiti wenu na kumfanya kiumbe kilichomsaliti Mungu kuwa ndio mtendaji mkuu wa Chama chenu.

Huyo unayemuita Disco joker na huyo kiumbe msaliti kama unavyomwita, kwani hawakuwepo wakati wewe unatafuta cheo huko Chadema? Kwa nini usijitoe mpaka usubiri kufukuzwa? Wewe unaujua usaliti kwa Mungu mpaka unawaita wengine kiumbe kilichomsaliti?
Nikuambie kitu binti, acha kuchulia maisha yako maana bado mdogo sana kiumri,kiakili,uelewa na hata busara. Wenzio unaoona wamefanikiwa katika fani walizoamua kujiingiza walitumia ethics za taaluma husika kufika hapo walipo sio kama ufanyavyo wewe.
Kuwatukana waliokuzidi kila upatapo nafasi mitandaoni wakati watu hao Mwenyekiti wako JK na viongozi wengine wanaokuweka hapo ulipo wanawaheshimu sana ni dalili mbaya sana huko uendako.
Lingine, kumbuka sasa wewe ni mke wa mtu hivyo lete hoja sizizo na matusi maana watu wata kuattack in revenge na wakati mwingine wakimuhusisha mumeo au maisha yako binafsi ya sasa na kabla ya kuolewa. Unadhani mumeo hata awe ---- kiasi gani atakuwa anafurahishwa na mambo hayo?
Kumbuka wewe ni verfied user hivyo personal attack zako zinaenda zaidi ya mtandaoni,hebu ona wenzako walio verfied wanavyo jiepusha na tabia kama zako. Hicho ndio kipimo cha akili na weledi wa mtu.
 
Mkuu Chakaza, maneno ya busara sana haya!, kama she has at least some little sense still left in her big empty head!, atakusikia!, lakini kama ni completely empty, yaani ni debe tupu!, then you are wasting your time!, huku ni kumpigia mbuzi gitaa!.

Pasco.
 
Nasikia wanakuita Pasco wa JF.., hawakukosea ni kweli wewe ni wa JF..!!

Nafurahia tu namna ya uhandishi wako wa kuchanganya lugha, inathibitisha ni kiasi gani ni MSOMI katika zama hizi ambazo kiwango cha ufahamu wa mtu kinapimwa kwa kuongea KIINGILISHI..hongera kaka.
 
Huyo unayemuita Disco joker na huyo kiumbe msaliti kama unavyomwita, kwani hawakuwepo wakati wewe unatafuta cheo huko Chadema? Kwa nini usijitoe mpaka usubiri kufukuzwa? Wewe unaujua usaliti kwa Mungu mpaka unawaita wengine kiumbe kilichomsaliti?
Nikuambie kitu binti, acha kuchulia maisha yako maana bado mdogo sana kiumri,kiakili,uelewa na hata busara. Wenzio unaoona wamefanikiwa katika fani walizoamua kujiingiza walitumia ethics za taaluma husika kufika hapo walipo sio kama ufanyavyo wewe.
Kuwatukana waliokuzidi kila upatapo nafasi mitandaoni wakati watu hao Mwenyekiti wako JK na viongozi wengine wanaokuweka hapo ulipo wanawaheshimu sana ni dalili mbaya sana huko uendako.
Lingine, kumbuka sasa wewe ni mke wa mtu hivyo lete hoja sizizo na matusi maana watu wata kuattack in revenge na wakati mwingine wakimuhusisha mumeo au maisha yako binafsi ya sasa na kabla ya kuolewa. Unadhani mumeo hata awe ---- kiasi gani atakuwa anafurahishwa na mambo hayo?
Kumbuka wewe ni verfied user hivyo personal attack zako zinaenda zaidi ya mtandaoni,hebu ona wenzako walio verfied wanavyo jiepusha na tabia kama zako. Hicho ndio kipimo cha akili na weledi wa mtu.
Hivi kwanini midume mizima mpo hapa kumtisha bint wa watu kisa kawaambia kweli..,tatizo la uwezo mdogo mlionao halitakwisha kwa matusi na kumtisha mtu kuwa wewe ni Verified User..,mara hizo personal attack zitamletea shida.,shida ya nini..? kuambiwa mna uwezo mdogo ni personal attack..,acheni ujinga..jully wabomoe tu...!!!
 
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.

Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.

Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.

lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.

Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.

USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.

Wewe ni mtafi asiye huru kwa kuwa umetafiti huku ukiwa CCM.!!!
Utafiti wako ungekuwa na maana kama ungekuwa huna Chama na tena ungekuwa huna migogoro na chama fulani
Mimi nakushauli usidanganywe tena .
Wakubwa wanakudanya wewe unakubali na kujichubua harafu wanakuondolea heshima iliyobaki!!
Rejea kwenye misingi yako ya kwanza !!Angalia hata wengine waliokushauri kuingia CCM wamekufa na wengine wameanzisha vyama vyenye migogoro isiyoisha
 
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.

Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.

Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.

lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.

Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.

USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.

[h=3]VIONGOZI WAPYA WA UV-CCM WALIVYOPOKELEWA KWA VIBOKO NA NGUMI[/h]
​
[h=2][/h]
cccm1.jpg

Sehemu ya Mabango yakiwa yamebebwa na Vijana wa UVCCM Wakati wa Mapokezi ya Viongozi wapya wa UVCCM Jijini Dar es Salaam Jana
cccm2.jpg

4701135_orig.jpg

Picha juu ni jinsi UVCCM walivyowapokea viongozi wao wapya - kwa mabango na kichapo katika ofisi za Makao Makuu ya Umoja huo jana.
uvccm_wakipigana.jpg

Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM (UV-CCM), wanaomuunga mkono Mwenyekiti mpya wa Taifa wa Umoja huo, Khamis Sadifa Juma na viongozi wenzake, wakimtwanga mmoja wa wanachama waliojitokeza kumpinga mwenyekiti huyo kwa mabango (wa pili kushoto), wakati alipowasili makao makuu ya umoja huo Dar es Salaam jana, akitokea mkoani Dodoma alipochaguliwa kushika nyadhifa hiyo. Picha na Rafael Lubava -
----
SHAMRASHAMRA za kumpokea Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) , Khamis Sadifa Juma jijini Dar es Salaam jana ziligeuka uwanja wa vita baada ya makundi yanayopingana kuchapana makonde.

Tafrani hiyo ilianza baada ya kundi moja la vijana waliokuwa wanane kutokea likiwa na mabango yaliyokuwa na ujumbe wa kupinga ushindi wa mwenyekiti huyo, wakati utambulisho wa ugeni huo ukiendelea katika ofisi za makao makuu ya UVCCM, zilizopo jijini Dar es Salaam.

Baada ya kundi hilo kujitokeza na mabango yao, ndipo vijana wa upande wa Mwenyekiti (Juma), walipoanza kuwakimbiza na kufanikiwa kuwakamata

Kukiwa hakuna msaada wa Polisi, vijana hao walilishambulia kundi hilo kwa muda, huku baadhi yao wakitiwa nguvuni na vijana hao na kuingizwa katika ofisi ya UVCCM huku waandishi wa habari wakizuiwa kuwahoji watuhumiwa wala kuingia ndani ya ofisi hiyo.

‘’Hatutaki waandishi humu ndani, tokeni na asiingie mtu, hawa tutashughulika nao wenyewe, wanatusumbua mno hawa kwa siku nyingi,” alisikika mmoja wa vijana hao akiongea kwa sauti ya juu.

Baada ya purukushani hizo zilizodumu kwa zaidi ya nusu saa, hali ya hewa ilitulia na ratiba iliendelea huku vijana wengine wanaomuunga mkono mwenyekiti wao wakichukua jukumu la kulinda usalama wa eneo hilo na kuwapeleka Kituo cha Polisi Mnazi Mmoja vijana wawili waliowakamata kwa mahojiano.

Mwenyekiti mpya wa UVCCM alitamba kuwa atapambana na watu wanaotaka kuvuruga umoja huo.
Alisema: “Mimi ni mwanajeshi nimekaa kwenye kambi nyingi za jeshi, hivyo naelewa nitakavyopambana nao.”

Viongozi wa Kitaifa
Hata hivyo, sherehe hizo hazikuhudhuriwa na kiongozi yeyote wa kitaifa wa CCM.

Akizungumza baada ya mapokezi hayo, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa aliwataka vijana kuwa na umoja akisema kuwa uchaguzi umekwisha na kilichobaki ni kujenga chama na kuhakikisha CCM inashinda katika chaguzi zote.

‘’Kilichobaki sasa ni kujenga chama, haipendezi kuendeleza uhasama ndani ya chama, sisi sote ni wamoja na tuache makundi kwani nayachukia na kuwachukia wale wanaoanzisha na kuendeleza makundi,’’
alisema Khamis Sadifa Juma.

Wiki iliyopita, baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa UVCCM mjini Dodoma, kundi la vijana kutoka mikoa mbalimbali walikutana na waandishi wa habari na kulalamika kwamba rushwa ilitawala uchaguzi huo, huku wakiwatuhumu viongozi wa UVCCM na baadhi makada wa chama hicho kwa kuhusika na vitendo hivyo.

Waliotajwa ni pamoja aliyekuwa makamu mwenyekiti wa umoja huo, Beno Malisa, Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela, Bashe na mtoto wa Lowassa, Fredy.

“Kama Rais Jakaya Kikwete kweli yuko makini na kauli zake ni za dhati, basi atengue matokeo ya uchaguzi huu maana kanuni zimekiukwa na kusema kweli rushwa ilitawala. Atumie nafasi yake kurejesha hadhi ya chama kwani huu uchaguzi ni batili,” alisema Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutoka Morogoro, Augustine Matefu.

Walidai kuwa Bashe, ndiye aliyekuwa mratibu wa uingizaji wa fedha katika eneo la mkutano ambazo zilitumika kugawanywa kwa wajumbe na kwamba Malisa na Shigela waligawa Sh1 milioni kwa viongozi wa mikoa kama hatua ya kumpigia kampeni mmoja wa wagombea walioshinda.

Hata hivyo, Bashe alikanusha tuhuma hizo akisema siyo kweli na kuongeza: “Mimi sijatumwa na Lowassa, wala sifanyi kazi na Lowassa. Nafanya kazi ya CCM, lakini nampenda sana Lowassa kwa sababu ni mmoja wa viongozi na makada wa chama, ambao wameonyesha mapenzi ya dhati kwa CCM na uvumilivu wa hali ya juu.”

Kada mwingine, Livamba Adinan Selemani alisema: “Vijana kweli tumempuuza Rais, kweli mtu ambaye hana hela hawezi kupata uongozi UVCCM, kwa maana nyingine nchi yetu inakwenda pabaya. Watu wachache wenye fedha wanaweza kuamua kufanya wanachotaka, hivyo ndivyo uchaguzi wetu wa vijana ulivyokuwa.”

Mjumbe mwingine, Kichanta Selemani alisema malalamiko ya viongozi wa UVCCM kuwapendelea baadhi ya wagombea yalifikishwa kwa Lukuvi lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.

Wakati makada hao wa CCM wakizungumza na waandishi wa habari, lilitokea kundi jingine la makada wa chama hicho ambao walianza kuzozana na wenzao wakisema kuwa malalamiko yao yanatokana na kushindwa na kwamba walitaka kutumia “Viongozi wa ngazi za juu za CCM” kuwachagulia vijana viongozi
 
Ungemsoma Pasco katika post #210 ungejitofautisha kidogo. Lakini kama alivyosema, kumpigia gitaa mbuzi ni kupoteza muda na nguvu zako bure. Jee wewe ni mbuzi pia?
Personal attack nilizosema ni matusi yake kwa Dr Slaa na mkewe pia kwa Mbowe. Hayo ya vijana wa Chadema kuwa na uwezo mdogo wa akili mbona ya kawaida na yanajadilika na sio matusi hata kidogo.

Mkuu, huyu lumumba the son mbuzi ana afadhali mara 100 kuliko huyu, mtu anayeamua kujiondoa Ufahamu na kubweka bila hoja, hakuwa na haja ya kukukejeli kama uelewa wake ungekuwa mkubwa kama wanavyonasibiwa na mtoa mada!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ninafikiri mwenye akili ndogo ni wewe unayetumia na ccm kisa umeamua kutumikia tumbo tu. Nasikia Nape ndiye aliyekurubuni wakati mkiwa kitandani ili ujiunge ccm. Sasa nani mwenye upeo mdogo kati yetu sisi na wewe?
 
Umewaudhi BAVICHA kuwaambia wana uwezo mdogo

Huyo chakula tu, hawezi kutuudhi, ameleta uha.ro anauita Utafiti, kama msomi ameshindwa kutueleza hata Hypothisis yake ilikuwa au imelenga nini, Hakuna Dunia hii Utafiti unaobase upande upande mmoja kamwe, tumesoma na tumeelimika, ss hako kataaluma kake cjui fani gani anakadhalilisha saana, sitashangaa nikiambiwa alikavulia kanguo ka mwisho (km anavaa lkn) ili kuhitimu!
Atuwekee paper yake ya huo utafiti ili tuione, si kutuletea harufu mbaya kwenye Jukwaa hili!
 
Back
Top Bottom