Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha,
Hiyo masters Degree ni ya miezi mingapi? 2008 - 2008!????
Duh! Mambo ya veta hayo
Mimi sii wa kwanza, si mnawaona wenzangu hawa!.
Mkuu Juliana Shonza, with due respect, mimi nimetokea kukuzimikia kwa jinsi ulivyo!, your , and intelligence innocent look, just kills me!, ulichoandika hapa ni facts kuhusu tatizo la ajira kwa vijana, na sio tuu kwa vijana wa Chadema, bali ni vijana wa taifa la Tanzania, katika ujumla wao!, ila ulichoandika hapa if your not posing as 'an agent provocateur', then you are a "macho woman!", usiiharibu hiyo inteligence and innocent look of your face, with such ----, hadi kupelekea, hata wale wasiojua kuwa degree yako ni moja ya zile degree za chu.., sasa wajue!!.
Anayekuambia ukweli, ndiye anayekupenda kwa that!,
I still believe you can do better that this!.
Pasco!.
Nimesomea sayansi ya jamii, nimeendelezwa na chama changu ambacho kinaamini kuwa ili niwe kiongozi bora katika zama za utandawazi, zama za dijitali ni vyema nikawa na elimu ya kutosha ili kuendana na changamoto za wakati.
Sikuvunjii heshima, ni ukweli tu kuwa taasisi zetu hasa zinazohusu utawala ni vyema zikaandaa succession plan iliyo na msingi mzuri wenye kujengea uwezo vijana wake.
Juliana on board! Wenzako wameshalamba ukuu wa wilaya masikini sijui ulisahaulika wapi!
Nimesoma sayansi ya Jamii, nilipoamua kujiunga na CCM na kusomea sayansi ya jamii nilijua Tanzania ina watu wa aina yako ambao wanahitaji ukombozi.
Ama kweli CCM mna dharau! Umesahau hali waliyo nayo hawa vijana ni matokea ya mfumo mbovu chini ya CCM? Na bahati mbaya hali hii sio kwa vijana wa wapinzani tu bali vijana walio wengi nchini.
Yaani kuingia CCM juzi tu tayari dharau zisizo na mfano kwa wananchi! Hivi ukibahatika kupata ka-uDC si utawakanyaga waTz vichwani wewe? Mungu apishe mbali.
Kamuulize Zito wakati anaaibua hayo alikua chama gani?na ni chama gani kilichomlea na kumkuza kisiasa mpaka nawewe ukamjua ukaanza kujpendekeza kwake kabla miguu chemba hajakutwaaHivi Zitto ambae ameibua kashfa ya Buzwagi na Escrow na madudu mengine y Serikali ni Kijana wa Chadema..???
Huo ni ufahamu wako au ni ufahamu wa viongozi wako pia..?
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.
Lakini hali hii inatokana na mfumo wa Chama Cha Mapinduzi ambao umejikita katika malezi na mafunzo kwa vijana wake kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) ambayo imejibainisha kuwa ni tanuru la kuoka viongozi wa chama na Serikali.
Kitu cha kipaumbele ktk uongozi na shabaha ya UVCCM ni kuongeza maarifa kwa vijana wa chama. Vijana wengi wameendelezwa kielimu (kwa fedha ya jumuiya) katika vyuo vikuu mbalimbali, jambo ambalo vyama vya upinzani hawafanyi, hawana mfumo wa ku-groom vijana wao na badala yake vijana wamekuwa wakijiongoza wenyewe na hivyo kupoteana.
lakini pia, Vijana wa UVCCM wana matumaini zaidi kuliko Vijana wa Chadema na wapinzani wengine, leo vijana wa Chadema na Wapinzani wanatamani wangekuwa CCM ili wanufaike na fursa za kupata maarifa na kujengewa uwezo, ndio maana akina Yericko Nyerere, Ben Saanane na wengineo wanafanya kazi za wagombea wa CCM kwa kuwa wamepoteza matumaini na viongozi wao kwenye vyama vyao.
Uwezo mdogo wa vijana wa chadema unajidhihirisha kwenye CV zao, kwani wengi ni mangumbaro wasio na elimu ya kutosha, lakini pia maneno wanayoandika kila kukicha katika jukwaa hili yanadhihirisha uwezo wao mdogo, thread za akina Henry Kileo, Tumaini Makene etc zinawavua nguo vijana wa Chadema.
USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
Chanzo kiko wazi kwa kila mwenye akili timamu.,ikiwa ninyi mnamsikiliza mtu anayewahamasisha kunywa gongo na kutangaza kuwa ataifanya halali akiingia madarakani na mkaacha kujisomea hspo kosa ni la nani..,Serikali inakosa lipi wakati shule mmejengewa tena kila kata na bado mnajiendekeza kunywa gongo.
Juliana Mimi nakushangaa sana kwa Maelezo unayotoa ni kama mtu mwenye matatizo ya kisaikolojia.
Lakini kumbuka chadema ndio waliokufundisha siasa wakakulea vizuri ndio maana ccm wanakuona lulu sasa hivi.Pia tambua chadema ni chama makini sana hata ww unalifahamu sana ila tatizo lako njaa inakusumbua sana ndio maana unafanya utafiti kengeza,sisi vijana makini hatuyumbishwi na maneno yako tunasonga mbele tena tunaomba Mungu asikuchukue mapema uone gharika ya mwaka huu itakavyokuwa.