Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Sikusahaulika mkuu ni suala la muda tu hatuwezi Pata wote lazina wengine wapate wengine wakose CCM chama kubwa wakina Mboni na Makonda wanatosha kutuwakilisha vijana.
Kazi ya uwakilishi kwa Vijana waliifanya wakiwa ndani ya Chama, teuzi walizozawadiwa sasa si za uwakilishi....
Jully ni kwanini wengi wanaoonekana mwiba kwa CCM wakiwa nje ya CCM wananunuliwa na baada ya kununuliwa wanaingizwa kwenye makundi ya kuchafua wale walio na misimamo tofauti na waliowanunua?