Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

fafanua vizuri binti uwezo wa Mdogo kivipi he walimpiga Mzee warioba
 
Juliana Shonza

Wewe kushinda JF na kuitukana CHADEMA asilani hakuwezi kukupa u DC.
Wewe ukitaka kuwa DC fanya kituko kifuatacho.

Tafuta siku Mzee Warioba ama Laigwan wakiwa wanahutubia hadhara,jirushe na ujipakatishe kwenye Mapaja yao,anza kuwapa Mate,kesho kutwa utakuwa DC.
Kukaa hapa JF na kutukana CHADEMA hakutakusaidia kitu,go extra mile,nenda Field mtoto Mzuri...
 
Last edited by a moderator:
Juliana shonza post zako ni za dizain kama mfuasi wa kibwetele yani dada mzuri kama wewe siasa za nini? Nakumbuka nilivyokuwa nawe kidato cha nne ulinambia mipango yako sasa nashindwa kukuelewa direction yako ni ipi?

Kick, This is too personal labda ungemPM
 
Ww uelewa wako upo wapi! Au unataka tukujadili elimu yako?
 
Unasema umekuwa unafanya utafiti, huo utafiti ulitumia njia gani? Umehakikkiwa na nani kuweza kutambulika kuwa umefikia viwango vya kuweza kutambulika kuwa ni utafiti? Kuchungulia kitu na kutoka nje ukaanza kuandika uyapendayo, huwezi kuuita kuwa ni utafiti. Nimewahi kufuatilia sana unavyoandika, kwa haya tu machache unayoyaandika mtu yeyote mwenye akili, uwezo na hekima atagundua kuwa upeo na akili yako ni vya kiwango cha chini. Nazungumzia akili sizungumzii elimu, yawezekana umesoma lakini akili yako ni average.

Kuna watu wengine hawajasoma kwa kiwango chako lakini ukiona wanavyoandika na kufafanua unatambua kuwa wana akili japo yawezekana hawana elimu kubwa. Na wengine wana maarifa makubwa japo hawajasoma sana. Unaposoma hutafuti akili bali unatafuta maarifa. Lakini hapa kwetu kuna baadhi ya watu wana mpaka degree tatu lakini hawana maarifa wala akili ya above average. Wamefika katika kiwango fulani cha elimu kwa sababu ya mazingira au ufisadi katika elimu. Elimu yao haiwianiki na maarifa yao. Kwa mfano angalia utetezi wa Ngeleji kwen ye kamati ya maadili. Ngeleja ana shahada mbili za sheria lakini alivyojitetea utasema kuwa ana maarifa ya sheria au ana akili above average?

Nakubaliana nawe kuwa CCM ina UVCCM ambayo ni taasisi ya kuwalea vijana ili baadaye waje wachukue nafasi mbalimbali na uongozi ndani ya CCM na Taifa. Lakini ulichotakiwa kujiuliza, hawa vijana wanafundishwa nini? wanafundisha na nani? Wanafundishwa kwa malengo gani? Siyo rahisi mzazi kumfundisha mtoto kuwa na maadili ambayo hata mzazi mwenyewe hana. Hawa vijana watamuiga nani ndani ya CCM? Wamuige Kikwete aliyewajaza marafiki zake wevi ikulu kama akina Gurumo? Wamuige Kinana mfanyabiashara wa pembe za ndovu? Wamuige Chenge fisadi wa kila ufisadi au wamuige Mwigulu aliyekuwa akiendesha mauaji ya raia wasio na kosa?

Ukitaka kuyajua maadili ya CCM, watazame viongozi wake. CHENGE NDIYE MWENYEKITI WA KAMATI YA MAADILI YA CCM.

Kwa sasa UVCCM ni tanuru la kuwafunza watu kuwa mafisadi, majizi na wevi wa mali ya umma. Kwangu mimi kijana kuwa ndani ya UVCCM ni ushahidi wa kijana huyu kuwa ana mafunzo au amebobea katika ujambazi wa kisiasa na mapato yasiyo halali. Hivi kijana ambaye hana mafunzo yoyote rasmi lakini ana maadili ya jamii yake na kijana ambaye amepewa mafunzo rasmi ya kuwa jambazi, ni nani bora kwako wewe Juliana? Utayakumbuka maneno yangu, Juliana utachezewa ndani ya CCM lakini utakuja kujutia kwa sababu wananchi wameamua kujitenga na uovu, kujitenga na CCM. Na kila siku inayopita idadi ya wanaojitenga na uovu wa CCM na maswahiba wao inazidi kuongezeka.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki waasisi wa CCM kwa sababu ya nia yao njema, na laana yako iwe juu ya wote wenye hila na nia mbaya dhidi ya wananchi wanyonge wasio na msaada ambao CCM na viongozi wao wanaendelea kuwaibia bila huruma kila kuchapo. Wewe Muumba wetu kila siku humlipa mja wako kadiri ya hekima yako. Na mapenzi yako yatimizwe maana wewe ni Bwana wa haki huwatawanya waovu na wanafiki waliobobea katika ghiliba kama walivyo wengi wa viongozi hawa wa CCM na serikali. Bwana naomba uyasikilize maombi ya mja wako, na utende kadiri ya mapenzi yako.
Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:
Mtu niliyemfundisha hadi kufungua barua pepe na jinsi ya kuitumia hanipi tabu.Hana nidhamu tu na chuki zake binafsi

Ina maana hata ule ukurasa mwingine ulikafungua mkuu? Hakana nidhamu haka, eti kana CV ya kutisha!
 
Juliana Shonza

Vıjana wa leo wengi wameenda shule.Na ukijaribu kufanya sensa vyuo vyote vya elimu ya juu toka mwaka 2000 ni supporters wa CDM.CCM ndo yenye vijana wengi ambao hawakujiweza sana vyuoni na wengi wapo kimasilai kuganga njaa zao.Hata uwezo wa ku-argue,vijana wa CDM wapo juu ukiwalınganısha na wa CCM.Tatizo la walio wengi ni kwamba wapo EMOTIONAL,wanakuwa na jaziba, lakn yawezekana ikawa ndo njia bora ya kukabiliana na CCM ambayo inatumia vyombo vya dola na rasılimali za serikali kujiimarisha na kuwakandamiza wapinzani.
 
Last edited by a moderator:
Tangu ....
.......Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.

Ccm imewanyima uwezo kwa kuwapeleka shule zisizo na uwezo ila mwaka huo hao unaosema hawa uwezo kwa umoja wao wataionyesha ccm uwezo wao.
 
Benazir,

Naomba tuheshimiane sana sana.Hii Obsession ya kunitajataja Ovyo si ya kiungwana na haipendezi

Unaweza kuleta ushahidi wa hizo tuhuma dhidi yangu?Ni mgombea yupi wa CCM?

Hizi sifa za kutafutia Ukuu wa Wilaya hazifai na sikutarajia utafikia hatua ya kunituhumu kwa sababu hiyo au sababu binafsi tu

Usizihamishie huku public.Hebu kuwa Mstaarabu sasa

hiyo ni kashfa mkuu jibu kwa hoja, nchi imeshachafuka hii: Tumuamini nani?
 
Chadema inawaumiza vichwa sana na bado juzi nilimsikia nape anatukana kule mpwapwa leo asubuhi hata chai hujanywa umeamka na chadema.peoplesszs....
o..
 
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.

Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!

Nimejaribu kugoogle nilichoona ni Facebook profile tu kuwa ulisoma UDSM. Hiyo haitoshi dada tueleze umesomea nini na umeajiriwa na nani sasa, maana ulipofukuzwa CHADEMA ulikuwa unalalamikia laki 7 alizokuwa analipwa Heche.
Kuwa mkweli dada, umesomea nini na umeajiriwa kazi gani na nani? sema tu usione aibu.
 
Juliana Shonza
Hizo tafiti amekupa nani nafasi ya kuzifanya?kwa kutumia rasilimali zipi kutoka ndani ya ccm?wewe ni nani ndani ya ccm?wacha kujivisha kilemba cha ukoka.labda utafiti wa jinsi ya kushirikisha fisi kuvutia watu ktk mikutano ya chama.
 
Last edited by a moderator:
Muogope Mungu...kuwa mkweli wewe na sisi wengine tuiokoe nchi yetu.Unaweza mfananisha Mdee na Nape??
 
Mnachokisema kipo CCM AU CHADEMA,MI NADHANI SHONZA WEWE mgeni huko umepewa cv za vijana wa ccm then wewe ukaambiwa za CHADEMA,TUPIA CV YA KIJANA WA CHADEMA AMBAYE ANA MASTER DEGREE HUKU HAJAWAHI KUWA NA BARCH.DEGREE,haya yapo ccm tu

Hiyo masters Degree ni ya miezi mingapi? 2008 - 2008!????
Duh! Mambo ya veta hayo
 
ccm nje ya ruzuku inaniliki vitega uchumi vingi sana tofauti na vyama vya upinzani mfano viwanja vyote vya mipira vipo chini ya ccm pili mtaji wa kuwepo madarakani muda mrefu tatu wazee wengi wa ccm wamejilimbikizia mali za umma sasa watashindwaje pesa zingine kuwagawia uvccm na kuwaendeleza pia umesahau kwamba ndani ya ccm kuna makundi ambayo yanagawa zawad kwa hao vijana ili iwe rahis kupata uongoz pindi wanapoutaka nakukihakikishia hata cuf ikiingia madarakani kwa mfano ni lazima itawajali vijana wake kwa hiyo mleta mada angalia na ukongwe wa ccm madarakani unachangia nyie kuish vizur mna mitaj mingi sana tofaut na upinzani mfano singasinga seth kama anahonga serikali pesa nyingi serikali ya ccm sasa uvccm mtashindwaje kuambulia na kuendelezwa?

Singasinga yupi
 
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.

Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!

Inaonekana huko upande wa pili wana aidha wasomi wengi au discrimination maana kama unawazidi elimu hao viongozi wa juu upande mwingine (hata Prof. Safari - Makamu Mwenyekiti) na still bado hujapewa kitengo... kunakuwa na uwalakini. Hao viongozi wote hawana hata skills za kuchuma mboga and opportunely crying instantaneously kama ulizonazo wewe, na bado hizo skills hazijawa identified/acknowledged kwenye chama chako!! Ningekushauri ujaribu kuwasiliana na mtu anayefanya Vulnerability and Risk Assessment upande huo kuona kama anaona Red flags on your so called
"its that international" CV.
 
Hao vijana wa ccm type ya makonda ndo wasomi kumbe nilikua sijui.

Sema sjui namna ya kuattach video nilitaka nilete video ya baadhi ya viongoz hasa mawaziri waliweza kwenda nje ya nchi na kulidharirisha atfa ka kushindwa kupresent speech kwa japo kiingereza tu,ikiwemo ile ya Mlugo rmya south africa ili tuone hii statement inahuska wapi ccm au chadema!!
 
Kwa hizi dharau zako Juliana Shonza hufai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa achilia mbali ukuu wa wilaya ambao unauwaza usiku na mchana! Jaribu kuheshimu watu wote bila kujali elimu zao, rika na hali zao za kimaisha. Hivi unadhani kuna mtu asiyependa kupata elimu nzuri? umewahi kujiuliza kwanini watanzania wengi wanakuwa na hiyo elimu unayoita ya kuungaunga?
 
Back
Top Bottom