DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,353
Hakuna anayekupangia cha kusema ndg. Hapa tunaelimishana. Na mtu ukisema kitu ambacho sicho, basi tunakuelimisha. Na mimi nikisema ambacho sicho, naomba nielimishwe.Naona umeamua kukomaza fuvu kisha kutaka kunipangia cha kucoment na mifano gani nisiitumie! Lengo langu kuu ni kupinga ile kauli kua ukiwa na fedha basi unakua huna matatizo! na unakua na furaha tu! jaribu kufuatilia mada huenda umerukia njiani!