Nawatakia wikiendi njema

Nawatakia wikiendi njema

Emily magnus

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2026
Posts
821
Reaction score
1,501
Waungwana, haya maisha bila pesa hayaendi.
Yaan pesa ni kila kitu.

Vijana acheni kupenda na kupendana bila pesa. My ex girlfriend alinambia:

"UPENDO SI PESA, UKINIPENDA NAMI NTAKUPENDA"

Haya maneno alisema ukweli na kwa usahihi kabisa.Upendo haununuliwi na pesa, madini wala thamani yoyote ile. Yaani kupenda, unapenda buure kabisa. Na kupendwa, unapendwa bure kabisa.

Ila huwezi kuishi na mke/mume, mchumba wala mpenzi wako bila pesa.
Yaani utapenda, utapendwa na mtapendana bure, ila mtaishi kwa gharama na huyo mpendwa wako.
Sasa kama huna pesa....

Hata ndugu, watakupenda tu, ila kama huna pesa.. Utaona kama wamekutenga. Kumbe wewe ndo umejitenga kwa kutowafuata kwenye tabaka lao.


Pesa, pesa, pesa.
Tafuteni pesa jameni.

Nawatakia, mchana na mlo mwema.
Na wikiendi njema
 
Ungewashauri wanaoishi kwa shemeji maana wanakuaga wagumu sana kuelewa
 
Pesa sio uhai. TOKA PEPO LA KUPENDA PESA, ndomana mnafanya mauzauza ili tu muonekane na pesa! ! TOKA!

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na takataka za aina hii:

Post in thread 'Ila tuwe serious, pesa ndio uhai, pesa ndio afya ya akili' Ila tuwe serious, pesa ndio uhai, pesa ndio afya ya akili
Pesa ni chanzo cha chuki.
Pesa inaimarisha upendo.

Chuki inaletwa na binadamu, chanzo pesa.
Upendo huimarishwa na pesa kwa binadamu.

Chuki - upendo
Maovu - mema
Mabaya - mazuri
Vyote huleta binadamu, pale anapopitia mhemuko wa hisia fulani.(furaha, huzuni, kicheko, kilio, n.k)

Kufanya mema ni lazima.
Kufanya maovu ni kujitakia, japo akili inausika.
 
Back
Top Bottom