antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,282
- 133,887
Kama huyo binti ni above 18 na hakulazimishwa, na siyo mke wa mtu, hakuna jinai yoyote, so polisi hawahusikiNi wapi huko tuwaelekeze polisi kabisa? Mmoja anautafuta umauti kwa gharama sana
Kama huyo binti ni above 18 na hakulazimishwa, na siyo mke wa mtu, hakuna jinai yoyote, so polisi hawahusikiNi wapi huko tuwaelekeze polisi kabisa? Mmoja anautafuta umauti kwa gharama sana
money can buy temporary happiness. Kuna wenye hela sana hawana furaha, anakula lkn majonzi matupu...Nakubaliana Nawe asilimia Zote Mkuu.
HAKUNA USEMI WA KIJINGA NA KIFWALA KAMA ULE ETII. Money CANNOT but happiness. Ila ndio misemo kama hio ipo Kuwafariji WALIOKATA TAMAA KABISA. Sie jomon tuendelee kupambana. Hakuna mtu anazaliwa na $$$. Ila mape$$$a yapo sana mtu ukipambana na kucheza kamari zako vizuri.
Dogo, bila kutoa mpunga unaonekana tu huna upendo..Uliona wapi pesa ikanunua Upendo,
Matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua umasikini pia hauwezi. I will give you two scenariosUkiwa huna Pesa unakua una amini hivyo ila ukija kuipata unatambua kua kumbe haukua sahihi.
Hata hio temporary happiness ni happiness pia. Ni mtu kutumia financial resources vizuri ili short term happiness iwe long term happiness. Ila sometimes ni mtu tu anashindwa kutumia resources zake vizuri. HAKUNA MAJONZI AU STRESS MBAYA KAMA YA WATU WASIO NA $$. Mie nimesha-experience zote. Na KAMWE SINTOKUBALI KURUDIA UMASKINI sababu hakuna any pleasure au happiness katika umaskini.money can buy temporary happiness. Kuna wenye hela sana hawana furaha, anakula lkn majonzi matupu...
Na hata Kanisani hao wenye pesa zao ndo wanaopewa Uzee wa Kanisa.Dunia hii ukiwa na pesa kila mtu anakuona wewe ndio una busara, hekima, na hata upendo, watakusifia kweli.. ili uwasaidie. Kwa hio, yeah, pesa inanunua vyote hivyo sababu mwenye $$ ndio anaonekana ana hekima na busara zaidi ya wengine.
Umasikini tunauishi tu ila hauna jema hata kidogoNakubaliana Nawe asilimia Zote Mkuu.
HAKUNA USEMI WA KIJINGA NA KIFWALA KAMA ULE ETII. Money CANNOT but happiness. Ila ndio misemo kama hio ipo Kuwafariji WALIOKATA TAMAA KABISA. Sie jomon tuendelee kupambana. Hakuna mtu anazaliwa na $$$. Ila mape$$$a yapo sana mtu ukipambana na kucheza kamari zako vizuri.
Ndg itakuwa haujashika hela nzuri bado. Mimi ni true testimony ya kutoka umaskini hadi kushika mape$$a mazuri kabisa. Namshukuru Mungu. Tena NILISHAWAHI KUPOTEZA KILA KITU, na hilo lilkuwa somo zuri sana. Manake nilikuwa maskini sana mwanzo, nikawa fogo sana. NIKAFANYA MAKOSA, NIKAPOTEZA KILA KITU NIKAANZA MWANZO tena kujijenga. Na Mungu amenibariki tena sana sana.Ukiwa huna Pesa unakua una amini hivyo ila ukija kuipata unatambua kua kumbe haukua sahihi.
Huo mstari wa juu kabisa,nakushauri kua usipende kumuhukumu mtu ambaye humfahamu,Ndg itakua haujashika hela nzuri bado. Mimi ni true testimony ya kutoka umaskini hadi kushika mape$$a mazuri kabisa. Namshukuru Mungu. Tena NILISHAWAHI KUPOTEZA KILA KITU, na hilo lilkuwa somo zuri sana. Manake nilikuwa maskini sana mwanzo, nikawa fogo sana. NIKAFANYA MAKOSA, NIKAPOTEZA KILA KITU NIKAANZA MWANZO tena kujijenga. Na Mungu amenibariki tena sana sana.
Ila sitaruhusu hilo tena la kuanguka litokee. Ni Mungu aendelee kunipa afya na uzima. Kiukweli wote tutaondoka duniani. Ila ni vizuri kuishi maisha mazuri sana yasiyo na stress za kukosa hela.. kuliko maisha na uzee wa ufukara au umaskini.
Unakosea ndg unavyotoa mifano ya watu wengine. Na kutetea mada yako kwa kutumia mifano ya wengine (umeniuliza sijawahi kuona... ??). Hio sio sawa kabisa. Kama mtu amezaliwa na genes za maradhi, basi itakuwa tu hivyo hivyo. Matajiri wanaokuwa na matatizo ya afya unakuta ni family history.. manake ni maradhi ya kurithiwa yanatembea katika ukoo. Either way, lazima anashukuru Mungu kuwa na uwezo mzuri wa kifedha sababu kwa maradhi hayo, hayawezi kuepukika, na hata asingekuwa na uwezo unakuta angekuwa nayo tu. Lakini bado pesa inamsaidia kuliko angekuwa na hayo maradhi na ufukara juu yake. Usipende sana kutolea mifano ya watu. Ndio maana mimi Sipendi kutolea watu mifano, I like to speak from own experience.Huo mstari wa juu kabisa,nakushauri kua usipende kumuhukumu mtu ambaye humfahamu,
Back to the topic,naona umetoka nje ya topic,ina maana hujawahi kuona matajiri hawana furaha? kuna matajiri wanateseka na maradhi na pesa zao zimeshindwa kuwasaidia lolote,unaweza ukawa tajiri ila ukawa huna peace of mind kitu ambacho ni muhimu pia,
Ndio maana nikasema mtu akiwa hana Pesa hudhani kua pesa ndio kila kitu ila ukija kuipata unatambua kua kuna vitu muhimu zaidi ya fedha,there's no greater wealth than peace of mind,
Pesa ni muhimu kwa maisha ya Dunia ya leo ila tambua kua unaweza ukawa na fedha ila ukakosa furaha kutokana na matatizo ya kidunia,inaweza kua maradhi au matatizo ya kifamilia.
Am a kweli kugegedana ndio starehe pendwa dunianiView attachment 1685439
Mjini ukiwa na pesa wewe ni babe.
Mbona kule mbezi polisi walihusika na bint alikuwa 33Kama huyo binti ni above 18 na hakulazimishwa, na siyo mke wa mtu, hakuna jinai yoyote, so polisi hawahusiki
Toa taarifa polisi kabla umauti haujamfika huyo babe wako au nasema uongo ndugu zangu ?View attachment 1685439
Mjini ukiwa na pesa wewe ni babe.
Yule mama alishikiliwa kwa kutuhumiwa kuuwa yule babuMbona kule mbezi polisi walihusika na bint alikuwa 33
Hata huyu bint ndio kitakachofuatia, huyo babu hawezi himili vishindo vya wadangajiYule mama alishikiliwa kwa kutuhumiwa kuuwa yule babu
Naona umeamua kukomaza fuvu kisha kutaka kunipangia cha kucoment na mifano gani nisiitumie! Lengo langu kuu ni kupinga ile kauli kua ukiwa na fedha basi unakua huna matatizo! na unakua na furaha tu! jaribu kufuatilia mada huenda umerukia njiani!Unakosea ndg unavyotoa mifano ya watu wengine. Na kutetea mada yako kwa kutumia mifano ya wengine (umeniuliza sijawahi kuona... ??). Hio sio sawa kabisa. Kama mtu amezaliwa na genes za maradhi, basi itakuwa tu hivyo hivyo. Matajiri wanaokuwa na matatizo ya afya unakuta ni family history.. manake ni maradhi ya kurithiwa yanatembea katika ukoo. Either way, lazima anashukuru Mungu kuwa na uwezo mzuri wa kifedha sababu kwa maradhi hayo, hayawezi kuepukika, na hata asingekuwa na uwezo unakuta angekuwa nayo tu. Lakini bado pesa inamsaidia kuliko angekuwa na hayo maradhi na ufukara juu yake. Usipende sana kutolea mifano ya watu. Ndio maana mimi Sipendi kutolea watu mifano, I like to speak from own experience.