Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Hahaha mkuuu jaribu kuchange hapo juu naona kama umeweka mistake kwa bahati mbaya au umekusudia nadhani kama umekusudia nadhani haijatulia hiyo hujaniona bado sasa ukisema hivyo unakosea mkuu.....ila pia mawazo yako mazuri thanks......
Tano, ni kutokuwa wawazi kwa wapendwa wetu. Hili ni somo pana kidogo ambalo nisingependa kuliongelea kwa undani sana, ila kwa kifupi tu ni kuwa, wengi wa wake /waume sio wakweli katika uchumba na hadi kuoana. Utakuta mtu anapendelea aina fulani ya mapenzi lakini anaogopa kumwambia mchumba wake kuwa napenda hivi na hivi. NA mbaya zaidi anapoolewa anazodi kuficha iliasijulikane. Ashakumu si matusi watumiaji wa kinyume na maumbile ni watu wazima sana. Kuna wakati pale kwa mfano Jangwani Girls mabinti hawakuwa tayari kutumika kwa njia ya kawaida, hii ilikuwa ni kuogopa mimba, na kutunza bikra kama walivyofikiria. Binti wa namna hii anapoolewa hawezi kumwambia mume ambaye ni kijana mwezake kuwa nataka huku! ukizingatia wayasemayo wataalamu kuwa ukishaonja huko si rahisi sana uache. Kama hawezi kumwambia mumewe kuwa nataka huku, ataenda wapi kama sio kumtafuta amabye atamwamrisha kuwa sasa umeshakula huku tugeuze samaki!
Acheni hayo mambo.Baba yako au baba zako wadogo or Mama yako au mama zako wadogo,wajomba au mashangazi utawaangalia kwa jicho gani?
Tupige vita hili kwa nguvu zote,tukitumia BUTTERFLY EFFECT.
kama unaoa Ji mama au ukiwa dada waolewa na Kibabu its FINE, lkn UZINIFU TUACHE JF Members
Tunapoangalia maisha yanayotuzunguka yanatia simanzi. Kuna mtu aliwahi kunambia kuwa USIPOYAFANYA YANAYOKUPASA KWA MUJIBU WA JAMII YAKO WAKATI WA UTOTONI BASI UTAYAFANYA KATIKA MAISHA YA UZEENI, sina uhakika sana. Ila nilichofikiria na kukiona, INAWEZEKANA hawa binadamu (baadhi) hawakuyafanya haya utotoni mwao! Kufanya ama kuonja tamu na chungu ya ngono ujanani ni sehemu ya ujana. Sasa kama mtu hakufanya, awe mke au mume basi huibukia uzeeni. Hiyo ni moja,
Pili, kuna hii ya hadithi za wakubwa, " Mama nanii jana nilichukua kale katoto pale mtaa fulani, kalipeleka moto hako goli tano hakajashuka saa hizi mimi mwepesi kabisa", mwenzake naye anataka kujaribu huo moto.
Tatu, kunakulipiza kisasi, ati baba nanii ana katoto ka shule basi na mama nae analipiza. Hii ni hatari sana.
Nne, baba kutomfikisha mama kileleni, hasa wamama wanapokuwa wanene na baba ni mnene, baadhi ya sehemu huwa hazifikiwi, dawa hudhani ni kupata kijana ambaye atamkuna itakiwavyo na kufika huko ambako mzee mwenye mali huwa hafiki bila kutumia utaalamu wa viungo walivyokuwa navyo.
Tano, ni kutokuwa wawazi kwa wapendwa wetu. Hili ni somo pana kidogo ambalo nisingependa kuliongelea kwa undani sana, ila kwa kifupi tu ni kuwa, wengi wa wake /waume sio wakweli katika uchumba na hadi kuoana. Utakuta mtu anapendelea aina fulani ya mapenzi lakini anaogopa kumwambia mchumba wake kuwa napenda hivi na hivi. NA mbaya zaidi anapoolewa anazodi kuficha iliasijulikane. Ashakumu si matusi watumiaji wa kinyume na maumbile ni watu wazima sana. Kuna wakati pale kwa mfano Jangwani Girls mabinti hawakuwa tayari kutumika kwa njia ya kawaida, hii ilikuwa ni kuogopa mimba, na kutunza bikra kama walivyofikiria. Binti wa namna hii anapoolewa hawezi kumwambia mume ambaye ni kijana mwezake kuwa nataka huku! ukizingatia wayasemayo wataalamu kuwa ukishaonja huko si rahisi sana uache. Kama hawezi kumwambia mumewe kuwa nataka huku, ataenda wapi kama sio kumtafuta amabye atamwamrisha kuwa sasa umeshakula huku tugeuze samaki!
Wengi huishia kuwatafuta wataalamu wao waliowafundisha ama kutafuta kijana watakaye mwamuru, ukizingatia na ugumu wa maisha ya vijana wetu, atakoboa na kusaga tu mradi apate pesa za kutanulia na maisha bora (wafikiriavyo) bila kujua athari zake.
Haya ni kwa mtizamo wangu, kama nimekosea basi mnisamehe ila ndivyo nijuavyo mimi.
Wasalaam
Kuchokana ktk ndoa inaweza kuwa chanzo au kulipiza kisasi has mwanaume anapoanza kugonga nje
Yes sio vijana wanapenda kuchukua ma mama hata wamama wanachukua vijana..kwa kuwa hao wazee wao wanakwenda na vibinti(Msikilize Mwana FA alivyo imba kwa hisia kali kwenye bado nipo nipo kwanza)..sasa change of role ina apply.
Ila haya ma mama kwa kweli ni mazuri usumbufu...kila kitu ontime..wasafi.No mizinga ya hapa na pale na beeping.Full uhuru...tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua...
....Excellent.!!!! Mimama unaweza kukandamiza kadri uwezavyo stamina ipo ya kutosha na you are likely to get every thing*****si kama vibinti. Mimama mingine mwanangu na kiuchumi iko vizuri linaweza kukutoa muhimu wewe tu ku-maintain performance!!!!Yes sio vijana wanapenda kuchukua ma mama hata wamama wanachukua vijana..kwa kuwa hao wazee wao wanakwenda na vibinti(Msikilize Mwana FA alivyo imba kwa hisia kali kwenye bado nipo nipo kwanza)..sasa change of role ina apply.
Ila haya ma mama kwa kweli ni mazuri usumbufu...kila kitu ontime..wasafi.No mizinga ya hapa na pale na beeping.Full uhuru...tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua...
Asiyejua maana , hambiwi maana.........Nitamuona kawaida tu kwanza hao wengine wanawaonaje au hiki kitu ni kigeni kwenye jamii ya sasa?????Toa wazu zuri ukaeleweka...........
Naona wachangiaji wengi ni watoto au niseme vitoto, No serousness on this, naomba niwape ushauri wa bure.
'Age An't Nothing But a Number' ni jina la Album ya Tina Tunner
Yenye wimbo wa-'What Love Got 2 Do With It?.
Ha anamaanisha umri ni mfumo tuu wa namari na hauna
Uhusiano wowote na mapenzi.
Kwa kuanzia hilo jina la mimama silipendi. Tumieni jima la wapenzi waliowazidi umri.
Hakuna sheria ya umri wa mapenzi bali tumeutengeneza kijamii kutokana na mapokeo. Inapotokea mapenzi ya dhati kati ya waliopishana umri, its fine wakioana based on true love.
Hapa simaanishi tamaa za mapenzi kwa wamama wenye nazo ambao wanawarubuni vijana wadogo not for love but as sex machines, That is wrong.
Ole wenu nyie vijana msio na mapenzi ya dhati mnapopendwa kwa dhati na waliowazidi umri mkawakubali na kujifanya mnapenda kwa dhati usoni lakini siyo pendo la toka mioyoni mwenu kwa lengo la kuwahadaa wenzenu ili mfaidi fedha zao, amini usiamini, Eventually mtaishia pabaya. Hata kama hizo pesa umenufaika nazo, the supreme law of nature by the name of 'karma' will take care of you na cha moto utakipata.
Michezo yote chezeni lakini mapenzi usichezee!.
.........tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua.......