nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Yaani dunia hii kuna watu wanaongopa jua likiwa linachomoza.
Leticia hana uraia ila ana kadi ya kijani (G.Card).
Nyalandu hata G. Card hana. (Angekuwa ni raia FBI wangekuwa wameshamlamba zamani maake yeye na Makamba Jr. wana soo za kujibu mahakamani). Na ndiyo maana Nyalandu hataki kugusa US.
Hao wengine sina uhakika.
Kama Nyalandu ana ishu ya kujibu US FBI asinge pata Clearence ya kuwa Waziri Tanzania kama Makamba walipotuma US for Clearance... Unajua USA na UGAIDI wanafanya clearence kwa kila cabinet members wa nchi Rafiki na TZ ni nchi Rafiki wa USA