Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,929
- 32,337
umesema sahihi.
Kwa mara ya kwanza mimi na NDOFU tumekubaliana kwa hoja...ni jambo la ujenzi
umesema sahihi.
Si ungeweka na ushahidi huwezi kusema tu watu wakuamini JF sio sehemu ya porojo weka Facts za kutosha!
Angekupaje mtu mwenye fitina na ufedhuri kama wewe?
Uraia wa nchi mbili hauruhusiwi acha uongo.
Endelea kumpigia debe anaweza akatoboza..Hii thread imemtarget Membe tu.
Hao wengine ni wasindikizaji.
Umesahau wa Zenji!Lol!Mheshimiwa FaizaFoxy ana wa Tanganyika na Tanzania.
Ha ha ha! JF kuna mambo! Never boring!nyerere kabla kufariki alikuwa na uraia wa tz na zimbabwe
Wewe sasa unanitia mashaka, yaani kila mtu ambae ana kajina maarufu Bongo wewe ni shemeji yako! unakumbuka kule kwenye thread ya upendeleo wa kazi za ubalozini unamuita William Malecela Le Baharia kwamba ni shemeji yako?shemeji yangu LAWRENCE MASHA
Hapana tatizo lao kubwa ni hili, hawajui kwamba kuna kitu kinaitwa to pursue opportunities Globally wamekaa kuimba kama kasuku bila hata kusema huo uraia wao unawasaidia nini? kwa nini hawashangai pale uhamiaji kuna maombi ya wazungu wanaomba uraia wa Tanzania?Kama ana green card,hilo siyo tatizo hata kidogo,only kama ni raia wa marekani ama taifa jingine.
Watu wengi humu hawajui tofauti kati ya green card vs. citizenship.
Wana Jf
katika kufatilia baadhi ya mambo nimepata kufahamu yafuatayo
(1)Mh sugu Ana uraia wa Tz na USA
(2)Mh Membe Ana urai wa Tz na Canada
(3)Mh Letecia Nyerere Ana uraia wa Tz na USA
(4)Mh Nyalandu Ana uarai wa Tz na USA
wana Jf Uchunguzi unaendelea Kama mnataatifa zaidi mnaweza kutoa Kama mnawafahamu wengine ongezea list
Kwa kuwa bado unaendelea, ni dhahiri kuwa hujapata masia bora tz mpaka sasa!. Nashukuru sana kwa kuliona hilo kuwa mpaka sasa maisha bora TZ hayapo!Niyaachie ma privilege kibao kisa nini? Kwani mie nilienda kucheza kule? Nilienda kutafuta maisha bora ambayo Nyerere alishindwa kunipa, na kweli nimefaidika, nashkuru AlhamduliLlah.
.
Wewe nae, Masha ni Shemeji, Malecela Shemeji na nani mwingine?
JF is never boring - The Boss (MWV)
Mheshimiwa FaizaFoxy ana wa Tanganyika na Tanzania.
Lawrence Masha Green Card yake kaitoa kwenye sheria, Mdogo wake alizaliwa USA hajakana URAIA wa USA yuko Jeshini TZ; Yeye ndie labda bado Mmarekani... Mzazi wao yeye bado ana pasipoti ya UN ya kibalozi kwahiyo anaingia nchi yoyote bila vizashemeji yangu LAWRENCE MASHA
Kwa kuwa bado unaendelea, ni dhahiri kuwa hujapata masia bora tz mpaka sasa!. Nashukuru sana kwa kuliona hilo kuwa mpaka sasa maisha bora TZ hayapo!