Serikali, wapo wageni wenye passport ya Tanzania. Wachukulieni hatua; nchi hii ni mali ya Watanzania

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
412
1,000
Mimi nilifanikiwa kuishi nchini Uingereza kwa about 23 yrs nikisoma lakini pia nikitafuta mchongo wa ajira. Baadaye nilifanya attempt ya kupata uraia nikakwama. Lakini nawafahamu watoto wa vibosile ambao kwa influence ya wazazi wao na wengine juhudi binafsi walipata uraia Wa Uingereza, Canada, Australia,USA na Ufaransa.

Wengi wa vijana hawa baada ya kutokea mtetemeko mkubwa wa masuala ya ugaidi na kupungua kwa fursa za uchumi kwenye Mataifa hayo ya majuu waliamua kurejea nyumbani nakuendeleza michongo yao hapa.

Most of watoto wa wadosi na waadhiri wa vyuo awakuwa na mchongo wa biashara maana familia zao ziliwalinda kwa pocket money. Sisi wengine tukakomaa na kujichanganya mtaani upate chochote.

Michongo mingi ya business nilkuwa napata kutoka kwa wenzetu Wasomali, wao ilikuwa rahisi kupata ukimbizi na Uraia lakini pia walikuwa na michongo ya fedha kutoka angle mbalimbali.

Kati ya mwaka 1998 Hadi 2014 jamaa zangu wa Somali waliwahamasisha sana ndugu zao kuja Tz kukimbia mazingira ya nyumbani kwao. Nakumbuka Mimi pekee nilikua linked na zaid ya familia 20 ambazo most of relatives walikuwa wanaishi bongo hasa sabasaba, Temeke na Buguruni. Ilikuwa ukija Tz lazima utumwe maujumbe mengine ya pesa ulete kwa ajili ya familia za Hawa jamaa.

Baada ya life kuwa ngumu na kwa kuzingatia maisha yalivyokuwa nje nilirejea nchini nikaanza kupiga kazi na clearing and foward company nyingi zikiwa nafanya nazo michongo ya kuingiza magari ya jamaa wa kisomali waliopo Tanzania.

Nimekaa hapa bongo napiga michongo hiyo nilipopata mtaji nikaamua kufungua ofisi yangu bandarini yakuclear mizigo. Hapa ninakutana na washkaji kibao waoniletea kazi au kuchukua mzigo kwao au tunaouziana kazi.

Kwanini nimeandika hii story, nimepata wasiwasi na namna michongo inavyokwenda hasa kuhusu uraia wa Tanzania. Kwa sababu zifuatazo;

1. Washakaji wote waliopata Uaraia kule ugenini wakarudi hapa nchini naona wanatumia pasipoti za Tanzania. Juzi nimemwona dada mmoja mwanza mwanasiasa akipanda ndege kuja dar, huyo sister na brother wake najui ni waingereza ila yeye wakati anachek in alitoa pasipoti ya Tanzania Kama kitambulisho nikashtuka. Lakini pia washkaji wenge wapo UDSM, Muhimbili, BoT, Bugando na Hazina waliobadili uraia nawaona wanatumia pasipoti za Tanzania? Je wanazipata kihalali au wanaficha pasipoti za nje nakubaki kujitambulisha kama wabongo?

2. Bora kwa Hawa Watanzania niliowataja hapo juu kidogo tunaweza kusema niwataftaji, lakini lipo kundi la wale jamaa waliokuwa wanapewa fedha na ndugu zao waliopo nje nakuingia Tanzania Kisha kufikia kwa ndugu zao Temeke, Buguruni, Karikoo na mtongani. Hawa ni wale Wasomali ambao ndugu zao wanapesa nje, nimeshtushwa kuona nao wanakampuni za usafirishaji mizigo Kama Watanzania na wengi wao Wana miliki magari makubwa ya mizigo kwenda Kenya.

Jamaa mmoja ambaye nakumbuka wakati namletea fedha na zawadi kutoka kwa ndugu zao kipindi hicho anafanya kazi za utingo Sasa hivi naona anamiliki hadi pasipoti za Tanzania. Nilipomdadasi nikagundua majina anayotumia siyo yale ya kipindi kile anatumia majina tofauti yote akitumia majina ya mzee aliyekuwa mwenyeji wake kipindi hicho.

Nimeandika uzi huu Kwanza kuwafungua macho ndugu zangu kwamba hii ni nchi yetu, tusipowafichua hawa watu sisi ndio tunakosa ajira na nafasi nyeti wanapewa wao kwa sababu kwa kundi la Kwanza wazazi wao ni wanasiasa wakubwa, maprofesa na madaktari ambao kwa vyoyote majina yao yanawabeba watoto wao.

Pili kwa hili kundi la pili lazima mamlka zinazohusika wakague upya kuona watu wanasajili Kampuni hapa ni Watanzania? Kama siyo Watanzania kwanini wakwepe kodi zinazotakiwa kulipwa na wageni? Lakini pia fedha wanazozalisha hapa nchini wanaziacha hapa au wanazisafirisha nje? Je, wanapodanganya kwamba ni Watanzania wakati siyo Watanzania familia zinazowahifadhi nakuwaruhusu watumie majina yao wanafanywa Nini?

Uingereza walipobaini nimedanganya kuhusu nyaraka zangu waliniburn nisikanyage kwao, kwanini hawa Wageni sisi tusiwashugulikie Kama Mataifa mengine yanavyofanya? Kwanini mtu asiye Mtanzania na ambaye hata lafudhi inamsuta, Hana historia yakusoma Tanzania Wala kuzaliwa kwanini adanganye mamlaka tuwaache?

Aiwezekani wale niliokuwa nawaletea zawadi au salamu kutoka nje huko kupitia ndugu zao miaka mitano Hadi kumi nyuma tayari wameomba Uaraia vinginevyo Basi kupata Uraia wa Tanzania itakuwa rahisi sana. Mamlaka wamulikeni Hawa watu kwenye Utumishi wa Umma uzuri mna CV zao na awakubadilisha majina usema amwezi kuwapata, lakini mulikeni kundi la jamii ya Wasomali waliojipachika kwenye familia nakuwachafua Wasomali ambao ni Raia wa Tanzania.
 

mtumishi 2021

Member
Mar 12, 2021
24
75
Uhamiaji wawi macho sana, lakn vilevile suala uraia pacha liangaliwe kama halina madhara kiusalama ili kuongeza mapato kwa walioko nje
 

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,532
2,000
Mind your own business. Unadhani serikali haijui?

Majizi wakubwa na wahalifu ni hao wabunge na viongozi wa serikali wanaolipana mamilioni wakati huko vijijini wanafunzi wanakaa chini na maji hakuna. Hao wasomali ni waganga njaa tu kutokana na vita huko kwao.
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
10,474
2,000
Uingereza walipobaini nimedanganya kuhusu nyaraka zangu waliniburn nisikanyage kwao, kwanini hawa Wageni sisi tusiwashugulikie Kama Mataifa mengine yanavyofanya?
Hakuna haja hayo mataifa mengine ni madogo sana kqma visiwa vya Zanzibar ndiyo maana yanakataza. Hata Zanzibar tu hapo mtanzania bara huruhusiwi kupata kazi wala kipande Cha ardhi.

Sisi tuna mapori chungu nzima. Acha waje.
 

diranqhe

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,187
2,000
Haya mambo huwa siyaelewi vizuri.. ina maana hao watoto wa vigogo kama wana passport 2 si ina maana wakiwa wanasafiri zile fingerprint zitaonyesha ni za mtu mwingine kwa maana ya passport ile ya pili? Je majina wanayotumia kwenye passport ya UK ndo haya ya kwenye passport ya TZ?
 

diranqhe

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,187
2,000
Hakuna haja hayo mataifa mengine ni madogo sana kqma visiwa vya Zanzibar ndiyo maana yanakataza. Hata Zanzibar tu hapo mtanzania bara huruhusiwi kupata kazi wala kipande Cha ardhi.

Sisi tuna mapori chungu nzima. Acha waje.
Wewe sexless nieleweshe inawezekanaje mtu akatumia passport zaidi ya moja? Mashine ya fingerprint pale airport si itamzingua?
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
10,447
2,000
Mind your own business. Unadhani serikali haijui?

Majizi wakubwa na wahalifu ni hao wabunge na viongozi wa serikali wanaolipana mamilioni wakati huko vijijini wanafunzi wanakaa chini na maji hakuna. Hao wasomali ni waganga njaa tu kutokana na vita huko kwao.
Sasa sijui wewe unaeleweka vipi.

Kwa nini a"Mind his own business", wewe huna business ya kumind?

Sasa mbona unawalalamikia hao wabunge, kumbe hata wewe aliyoandika mleta mada yanakuumiza kwa vile kuna uzembe/uhujumu wa waTanzania wenzetu kwa kutotimiza wajibu wao!

Kama wasomali ni waganga njaa, basi ndio waachiwe tu waje kiholela kuganga njaa zao hapa; huku mtu kama wewe huna hata 'business' ya kumind?

Au wewe ndiye wakala wa hao wasomali, mmoja wa vishoka wanaosumbua huko uhamiaji; maana lugha yako uliyotumia hapa inakutambulisha hivyo.
 

misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
11,483
2,000
Nakubaliana na mleta, tunamaanishwa hamna uraia pacha(dual citizenship) lakini sio kweli
 

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
11,451
2,000
Mind your own business. Unadhani serikali haijui?

Majizi wakubwa na wahalifu ni hao wabunge na viongozi wa serikali wanaolipana mamilioni wakati huko vijijini wanafunzi wanakaa chini na maji hakuna. Hao wasomali ni waganga njaa tu kutokana na vita huko kwao.
Huwaga unahemkwa.

Mada inazungumzia jambo lingine.

Wewe unazungumzia jambo lingine Una stress?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom