Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Kuna mambo yanaleta ukakasi.

Mashehe wa Zanzibar walikamatwa wakati wa Rais Kikwete, Lowassa hakusema chochote, na kipindi hicho Tanzania haikuwa na tatizo la Kibiti. Watu zaidi ya 30 wameuwawa katika mazingira ya kutatanisha, halafu anaibuka Lowassa ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu anawakusanya Waislam nyumbani kwake na kuwaambia "WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA". Lowassa anakwenda mbele zaidi na kuwakumbusha namna 'watu walivyotumia dini kuleta machafuko wakati wa Rais Mwinyi.

Maswali ya kujiuliza,

1. Mbali na maagizo aliyotoa hadharani, Lowassa amekuwa anafanya nini nyuma ya pazia?
2. Lowassa anajua nini kuhusu Kibiti?
3. Lowassa ana maana gani anapoagiza waislam waongee 'lugha ambayo serikali inaielewa? Hiyo lugha ikoje?
4. Ni kwanini ametolea mfano wa mchafuko ya kidini wakati wa Mzee Mwinyi?
5. 'Shehe' ambaye amekuwa anafuatana na Lowassa kila mahali (hata leo alikuwa naye) ni kwa ajili ya maombi au ndiye msimamizi mkuu wa 'lugha' ambayo Lowassa anataka waislam waitumie.

Kuna tatizo kubwa.
Lowasa Na self hamad marafiki zao wakuu sio bakwata ni mujahidina Na ndio maana wote walikosa uraisi. Lowasa Na seif hamad wote wajahidina
 
Oookkkk...lowasa should choose his words wisely but his excellency your highness the one above all your hollyness should not...kweli mkuki kwa kitimoto mtamuuu....mto ngono katerero pesa za rambirambi vilaza sitoshirikisha wapinzani hanishiki mkono halafu nimsainie malipo yake....wakileta vyoko nipigie dakika 5 ni nyingi....dahhh to mention the very few cumbersome and stupidly choosen words by his hollynes hayatollah J.P.J.M
Mkuu hekima haisemi kwa kuwa fulani kafanya na mimi nafanya. Mwenye hekima anabaki kuwa mwenye hekima.

Hata hivyo sioni mahali ambapo JPM ameongea maneno ambayo yanaweza ku- jeopardize security ya nchi.Kinachoendelea ni chuki tu zisizo na msingi dhidi yake. On the other hand, maneno ya Edward ni dangerous to our security.
 
Yeye ana pakukimbilia, eti kuna watu wanatetea maneno ya huyu mzee! Siku ile aligeuka kuwa mpuuzi kweli kweli!!!!

Hana pa kukimbilia, ni shortsightedness tu.

Atachukua watoto wake na wake zao na wajuu aende nao wapi, Saudi Arabia au Uingereza? Aache mamali yake Monduli na hisa za Vodacom? Hawezi, haoni mbele.

Na kama anasema Shekhe Kassim Juma alikuwa anafanya la maana sana mwaka 1994 yeye alikuwa big shot serikalini, mbona walikuwa wana raid misikiti wakitumia mbwa na askari? Alikuwa wapi?

Umeandaa futari, umealika watu, kwanini lazima igeuke mkutano wa kisiasa? Unawapa serikali haki na sababu ya kusema kuanzia leo lazima upate kibali cha futuru ya Waislam watano na kuendelea nje ya nyumba yako.
 
Kuna mambo yanaleta ukakasi.

Mashehe wa Zanzibar walikamatwa wakati wa Rais Kikwete, Lowassa hakusema chochote, na kipindi hicho Tanzania haikuwa na tatizo la Kibiti. Watu zaidi ya 30 wameuwawa katika mazingira ya kutatanisha, halafu anaibuka Lowassa ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu anawakusanya Waislam nyumbani kwake na kuwaambia "WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA". Lowassa anakwenda mbele zaidi na kuwakumbusha namna 'watu walivyotumia dini kuleta machafuko wakati wa Rais Mwinyi.

Maswali ya kujiuliza,

1. Mbali na maagizo aliyotoa hadharani, Lowassa amekuwa anafanya nini nyuma ya pazia?
2. Lowassa anajua nini kuhusu Kibiti?
3. Lowassa ana maana gani anapoagiza waislam waongee 'lugha ambayo serikali inaielewa? Hiyo lugha ikoje?
4. Ni kwanini ametolea mfano wa mchafuko ya kidini wakati wa Mzee Mwinyi?
5. 'Shehe' ambaye amekuwa anafuatana na Lowassa kila mahali (hata leo alikuwa naye) ni kwa ajili ya maombi au ndiye msimamizi mkuu wa 'lugha' ambayo Lowassa anataka waislam waitumie.

Kuna tatizo kubwa.
hakuna tatizo kubwa ila TUNANG'ANG'ANIZA TUWE NA TATIZO KUBWA.
Tafsiri ni nyingi za maneno aliyotumia ila S's kwa mioyo yetu ambayo INA mapungufu ya umoja yenye harufu za chuki ndo tunatengeneza tafsiri mbaya, ili tu tuone nn kitatokea.
Hivi kuongea lugha ambayo serikali itaielewa hakuna maana nyingine zaidi ya kuleta vurugu? (Hivi ikiwezekana wateuwe miongoni mwao wazee wanaoheshimika waende kumuona rais na kumuomba awasamehe masheikh walioko nani nayo haiwezi kuwa lugha nyingine )Waislamu msiwe baridi! Maana pekee ni kuwa na vurugu ndio wataonekana moto.!
Je? Aliyoyazungumza hajawahi kuyaongelea wakati wa kampeni ? Masheikh hao wapo au hawapo? Suala la kuunda tume ya kuchunguza madini mbona tuko kimya yote si kayasema pamoja.
Kibiti serikali na chama tawala vyote havitaki mashirikiano na vyama vya upinzani kwenye shida na raha muda wote ni kunyoosheana vidole. Ukisema lazima nikujibu kwa ubaya tu.
Kama taifa waliopo madarakani wanawajibu wa kutengeneza umoja wa kitaifa kwa mambo muhimu yanayolikabili taifa kuwe na mshikamano wa kitaifa.kwa kipindi hili nimejifunza kwenye mamlaka ya kutengeneza yote si CHAMA CHA MAPINDUZI wala UPINZANI wala WANANCHI ni Rais anayetawala kwa wakati huo ambaye kwa sasa ni MH J POMBE MAGHUFULI.
 
Mimi sioni kasoro yoyote katika kauli yake, bado ukweli upo pale pale mashehe waachiwe, haki za binadamu zinakiukwa
Najiuliza kwa sauti tu:
1) Wako kizuizini au!
2) Je, hakuna mawakili kama Mh Lissu naTLS yake ya kuwawakilisha hadi Lowasa, Waziri Mkuu awasemee, tena wakati wafungo kwenye futari aliyokaribishwa!
3) Kuna nini nyuma yake hayo matamshi ya Lowassa?
 
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.

Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.

Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.

Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.

Aliyekuambia lugha ya waislamu ni kujilipua ni nani?
 
Lowassa yule sio huyu. Anakua na uchu hadi anaishiwa pumzi. Hatareee.
 
Mabwege yanajionaga maungwana halafu madhalimu ya haki za watu yanaishi kwa khofu kama makunguru ya mjini kwa sabab yanajua wazi juu ya maovu yao kwa watu

Hivi sijui kwanini mungu anayaacha haya matakataka ktk dunia hiii
Acheni chuki jamani
 
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.

Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.

Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.

Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.

Hujaona clip ya anayejiita muuaji mkuu kibiti wewe?
Unayoyaogopa mbona yameshaanza au nayo watasema ni lowassa anahusika nayo?
 
hakuna tatizo kubwa ila TUNANG'ANG'ANIZA TUWE NA TATIZO KUBWA.
Tafsiri ni nyingi za maneno aliyotumia ila S's kwa mioyo yetu ambayo INA mapungufu ya umoja yenye harufu za chuki ndo tunatengeneza tafsiri mbaya, ili tu tuone nn kitatokea.
Hivi kuongea lugha ambayo serikali itaielewa hakuna maana nyingine zaidi ya kuleta vurugu? (Hivi ikiwezekana wateuwe miongoni mwao wazee wanaoheshimika waende kumuona rais na kumuomba awasamehe masheikh walioko nani nayo haiwezi kuwa lugha nyingine )Waislamu msiwe baridi! Maana pekee ni kuwa na vurugu ndio wataonekana moto.!
Je? Aliyoyazungumza hajawahi kuyaongelea wakati wa kampeni ? Masheikh hao wapo au hawapo? Suala la kuunda tume ya kuchunguza madini mbona tuko kimya yote si kayasema pamoja.
Kibiti serikali na chama tawala vyote havitaki mashirikiano na vyama vya upinzani kwenye shida na raha muda wote ni kunyoosheana vidole. Ukisema lazima nikujibu kwa ubaya tu.
Kama taifa waliopo madarakani wanawajibu wa kutengeneza umoja wa kitaifa kwa mambo muhimu yanayolikabili taifa kuwe na mshikamano wa kitaifa.kwa kipindi hili nimejifunza kwenye mamlaka ya kutengeneza yote si CHAMA CHA MAPINDUZI wala UPINZANI wala WANANCHI ni Rais anayetawala kwa wakati huo ambaye kwa sasa ni MH J POMBE MAGHUFULI.
Hebu rudia tena, it's as if you're talking sense.
 
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.

Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.

Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.

Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.

Kawatafuta mwenyewe, kawapata ila asije kujidai haelewi.
 
Watu wote wanawaza vurugu tu.... Mungu ibariki Tanzania
 
MZEE WETU NA NDUGU YETU KAMA ALIVYOSEMA WAKATI ANAANZA KAMPEINI ZA URAIS, ALISEMA " NAANZA SAFARI YA MATUMAINI"
KWA NAMNA ANAVYOONGEA, BADO HAJAKATA TAMAANA KUHUSU SAFARI YAKE YA MATUMAINI.
SWALA HAPA SI WAISLAMU MBALI NI KUPATA MAKUNDI MBALIMBALI YA KUMSINDIKIZA KATIKA SAFARI YAKE HIYO.
BORA AFE AKIWA SAFARINI KULIKO AKIFA AKITAWALIWA.
LOWASA ANAJARIBU KUJENGA JINA LAKE ILI LIWE MAARUFU TENA KAMA LILIVYOKUWA WAKATI WA RAIS KIKWETE AU KABLA.
AKIFA LEO, JINA LAKE LITAKUWA LIMEKUFA AU LITAKUMBUKWA KWA UBAYA ZAIDI KULIKO UZURI.
MUNGU AMWONGOZE ILI AKUBALIANE NA UONGOZI WA SASA WA INCHI NA IKIWEZEKANA AACHANE NA MAMBO YA SIASA KAMA ALIVYOACHA MZEE KAUNDA WA ZAMBIA ILI AWEKWE KATIKA HISTORIA YA WATU MAARUFU TANZANIA.
 
Back
Top Bottom