Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Alikuwa akachimbe dawa ili awe mganga, maana ndo ajira ambayo ingekuwepoKuna mwingine alisema tukichagua upinzani ataingia msituni,hakuitwa kuhojiwa!
Alikuwa akachimbe dawa ili awe mganga, maana ndo ajira ambayo ingekuwepoKuna mwingine alisema tukichagua upinzani ataingia msituni,hakuitwa kuhojiwa!
Kama hakuna mauaji ya mapadri haya mauaji ya kibiti kayaleta nani?Huyu mzee nadhani hakujiandaa kuongea yale maneno au amepewa taarifa za uongo na Sefu
Tokea mashehe wale watiwe ndani Zanzibar imekuwa kimya,hakuna mauaji ya mapadri,wazungu wala mabomu.
Mtu kama Lowassa wakuogopwa sana,yupo radhi kutetea magaidi,ilimradi afikie malengo yake ya kisiasa

Angekumbusha na ile MoU ilikuwaje kuwaje akaamua kuyapa Makanisa pesa za Serikali !Uislam hautaki kudhulumu, na kutodhulumiwa haki.ENL amekumbusha tu!
Natamani niku....!!!Ya kujilipua ni mawazo yako. Lugha inaweza kuwa ya kwenda UN, AU kutoa malalamiko. Mahakamani kudai wafikishwa mahakamani/ kesi ifutwe etc! Kwa nini mnakimbilia kwenye upuuzi wa kujilipua. Unadhani Lowasa anaweza kuwa na mawazo ya kujilipua?
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Geuzia kwa mama yako ulilotaka kulisemaNatamani niku....!!!
Una uhakika kesi haiendeshwi?? Unajua maana ya kuendeshwa kesi.... mkuu kaa kimyaaaa ngoma hii ikianza hutaiweza kuicheza!! Nakushauri tu mkuu ila kama hutaki... nimetimiza wajibu wangu.Yaani huwa najiuliza kuna sababu gani kwenye nchi yetu kuwa na Mahakama kama zinaonekana hazitendi haki? Maana kuna ule msemo usemao " si tu haki itendeke bali pia ionekane inatendeka". Sasa watu wamo ndani bila ya dhamana na kesi haiendeshwi lakini mahakama iko kimya.
Tunajua kwamba tuna Kaimu Jaji lakini sidhani kama pia tuna Kaimu Mahakama!
Sawa mkuu!Geuzia kwa mama yako ulilotaka kulisema
Hilo onyo kwangu kwani mimi ni uamsho ama Lowassa? Elewa Kuendeshwa kwa kesi na kesi kuwa mahakamani ni vitu viwili tofauti.Una uhakika kesi haiendeshwi?? Unajua maana ya kuendesjwa kesi.... mkuu kaa kimyaaaa ngoma hii ikianza hutaiweza kuicheza!! Nakushauri tu mkuu ila kama hutaki... nimetimiza wajibu wangu.
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Ndo alienda kuulizwa pale CentralKama hakuna mauaji ya mapadri haya mauaji ya kibiti kayaleta nani?
Oookkkk...lowasa should choose his words wisely but his excellency your highness the one above all your hollyness should not...kweli mkuki kwa kitimoto mtamuuu....mto ngono katerero pesa za rambirambi vilaza sitoshirikisha wapinzani hanishiki mkono halafu nimsainie malipo yake....wakileta vyoko nipigie dakika 5 ni nyingi....dahhh to mention the very few cumbersome and stupidly choosen words by his hollynes hayatollah J.P.J.MAlikwenda mbali kidogo.Ni mbaya, hasa kwa kuwa yeye ni a very influential person. He was supposed to know the impact of his words to the population and hence wisely choose his words.
Kama lilikuwa zuri, ubarikiwe kama lilikuwa baya likurudie.Sawa mkuu!
Ni ushauri tu mkuu!! Unaweza kuukubali au la!!Hilo onyo kwangu kwani mimi ni uamsho ama Lowassa? Elewa Kuendeshwa kwa kesi na kesi kuwa mahakamani ni vitu viwili tofauti.
Umemmaliza. Nyani hawaoni makudu yao! Yaani hayaoni ya "Mungu" yanaonekana ya LowasaOookkkk...lowasa should choose his words wisely but his excellency your highness the one above all your hollyness should not...kweli mkuki kwa kitimoto mtamuuu....mto ngono katerero pesa za rambirambi vilaza sitoshirikisha wapinzani hanishiki mkono halafu nimsainie malipo yake....wakileta vyoko nipigie dakika 5 ni nyingi....dahhh to mention the very few cumbersome and stupidly choosen words by his hollynes hayatollah J.P.J.M