Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Mamvi alichokisema siku ile hakikubaliki hata kama tutaleta Ngonjera za namna gani.
Hata kama mtu ukivimbiwa FUTARI huwezi kuyatamka maneno kama yale ya kuchochea UDINI.
MWALIMU JKN alishasema kuwa "mtu akishafirisika kabisa KIFIKRA na kukosa uhalali wa kupata cheo, mtu huyo huanza kujihalalisha kwa njia ya ama UDINI, UKABILA au UKANDA(UKABURU )
Kwa kifupi, watanzania wote bila kujali itikadi zetu za KISIASA, KIDINI,KIKABILA, KIKANDA na nyinginezo tunapaswa kulaani vikali kauli zinazochochea UDINI kutoka kwa baadhi ya wapuuzi wachache katika nchi yetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE. Amina.
 
Ni kweli kwa sababu hakuna sababu za watu hawa kuwekwa kizuizini muda mrefu hivi bila kufikishwa mahakamani. Hii si sawa kabisa.

That's right, si sawa kuwekwa kizuizini bila mashitaka kwa zaidi ya muda unaotakiwa kwa sheria ya mienendo ya jinai.

Lakini hiyo haihalalishi, hai justify kuchochea siasa kali za kidini. Kosa ni kosa. Lowassa amefanya makosa kujikomba kwa radical jihadist platform.

EMBU acheni ujinga mbona wakati asha bakari anasema zanzibar seif hapewi mpaka apindue nchi hamkuona ni uchochezi?? Nape aliposema goli la mkono haiwi uchochezi so funny

Asha Bakari, Nape Nnauye, au mwingine yeyote, sijui walisema nini, but, again, chochote walichosema Asha Bakari na Nape Nnauye hayafanyi ya Lowassa yawe sawa.

Ukiwa mtoto mdogo, mama akikukamata kwenye kopo la sukari unajitetea hata Baraka na yeye amebugia sukari. Doesn't work. Sio kisingizio hata siku moja.
 
That's right, si sawa kuwekwa kizuizini bila mashitaka kwa zaidi ya muda unaotakiwa kwa sheria ya mienendo ya jinai.

Lakini hiyo haihalalishi, hai justify kuchochea siasa kali za kidini. Kosa ni kosa. Lowassa amefanya makosa kujikomba kwa radical jihadist platform.

Asha Bakari, Nape Nnauye, au mwingine yeyote, sijui walisema nini, but, again, chochote walichosema Asha Bakati na Nape Nnauye hayafanyi ya Lowassa yawe sawa.

Ukiwa mtoto mdogo, mama akikukamata kwenye kopo la sukari ndio unasema hata Baraka na yeye amebugia sukari. Sio kisingizio cha watu responsible.
Mwambie na hii two wrongs don't make a right. MBOYE analo mwaka huu maana huyu mgeni aliyemkaribisha !! hajulikani anaongea nini hata kulitamka jina la lisso linamshida sasa wanatumia muda mwingi kukomaa kumtetea miropokoa ya ajabu aliyoiongea
 
That's right, si sawa kuwekwa kizuizini bila mashitaka kwa zaidi ya muda unaotakiwa kwa sheria ya mienendo ya jinai.

Lakini hiyo haihalalishi, hai justify kuchochea siasa kali za kidini. Kosa ni kosa. Lowassa amefanya makosa kujikomba kwa radical jihadist platform.

Asha Bakari, Nape Nnauye, au mwingine yeyote, sijui walisema nini, but, again, chochote walichosema Asha Bakari na Nape Nnauye hayafanyi ya Lowassa yawe sawa.

Ukiwa mtoto mdogo, mama akikukamata kwenye kopo la sukari unajitetea hata Baraka na yeye amebugia sukari. Doesn't work. Sio kisingizio hata siku moja.
Yeah najua kuwa 2 wrongs dont make a right ila sioni wapi lowasa kachochea machafuko??? Kwani lugha inayoeleweka ndio kamaanisha MABOMU ???? kivp hapo mkuu huoni unachafha dini hii takatifu
 
Mwambie na hii two wrongs don't make a right. MBOYE analo mwaka huu maana huyu mgeni aliyemkaribisha !! hajulikani anaongea nini hata kulitamka jina la lisso linamshida sasa wanatumia muda mwingi kukomaa kumtetea miropokoa ya ajabu aliyoiongea
Uchochezi wa lowasa ukwapi??? Kwani ana maana gani kusema lugha inayoeleweka?? Je kamaanisha machafuko??? Embu kuweni serious mkuu msimlishe maneno mzee wa watu na hii kesi atashinda asubuhi tu
 
Mamvi alichokisema siku ile hakikubaliki hata kama tutaleta Ngonjera za namna gani.
Hata kama mtu ukivimbiwa FUTARI huwezi kuyatamka maneno kama yale ya kuchochea UDINI.
MWALIMU JKN alishasema kuwa "mtu akishafirisika kabisa KIFIKRA na kukosa uhalali wa kupata cheo, mtu huyo huanza kujihalalisha kwa njia ya ama UDINI, UKABILA au UKANDA(UKABURU )
Kwa kifupi, watanzania wote bila kujali itikadi zetu za KISIASA, KIDINI,KIKABILA, KIKANDA na nyinginezo tunapaswa kulaani vikali kauli zinazochochea UDINI kutoka kwa baadhi ya wapuuzi wachache katika nchi yetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE. Amina.
Uchochezi wake ni upi?? Alisema waandamane?? Alisema wajitoe muhanga?? Hivi mnajua maana ya uchochezi ?? Embu ingia youtube utafute video za oustadh ilunga
 
Mimi sioni kasoro yoyote katika kauli yake, bado ukweli upo pale pale mashehe waachiwe, haki za binadamu zinakiukwa
Hii yote inatokea kwa sababu serikali imeshagundua kuwa hivo vyombo vya haki za binaadamu ni vya kinafik. Wacha serikali itie ndani mashoga na kuwanyanyasa uone kama hawajaekewa vikwazo
 
Uchochezi wake ni upi?? Alisema waandamane?? Alisema wajitoe muhanga?? Hivi mnajua maana ya uchochezi ?? Embu ingia youtube utafute video za oustadh ilunga
Amepelekwa kwa DCI ili yeye mwenyewe akatoe ufafanuzi juu ya kauli aliyoitoa inayoashiria UDINI.
Yeye ndiye atakayetuambia kwamba alimaanisha nini.
Huyu mtu si mara yake ya kwanza kujaribu kutuingiza kwenye UDINI.
Ni mpumbavu tu anaweza kuunga mkono kauli tata za mtu huyu.
 
Hahhahahahha eti yeye alimaanisha nni sasa mdini angesema waunde kamati kumuona rais ????? Si angesema waunde kamati kuanzisha timbwili timbwili msituni!! Huo udini auanzishe kwa waislam wakati yeye wanamuona sio dini yao atawezaje!!! Yaani asiwapandikize chuki walutheri aende kwa dini isiyomtambua?? Hivi tuko serious kweli!!! LUGHA INAYOELEWEKA ina tafsiri pana sana ssa kivp mchukulie maana HASI sio chanya???

Kipindi lukuvi anasema zanzibar wasipewe mamlaka kamili maana watatangaza taifa la kiislam mbona hamkusema ni udini!!! Shame on u ndumilakuwili polepole
 
Uchochezi maana yake nini?
Hivi wanaochochewa ni kina nani?
Kwanini wanachocheleka badala ya kukaa kimya?
Hii ni sawa na wale wanaodhani neno "KAFIRI" ni tusi ilhali maana yake ni sawa na "MPINGAJI" kama ambavyo tungetoa mfano wa CCM ni kafiri wa UKAWA au vice versa.
Ukosefu wa uvumilivu wa CCM na makada wake hautupeleki mahala salama.
 
Back
Top Bottom