Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Hata umuiteje haji!Anachungulia tuYes kwenye hili lazima FaizaFoxy apasuke msamba au afe na tai shingoni
Hata umuiteje haji!Anachungulia tuYes kwenye hili lazima FaizaFoxy apasuke msamba au afe na tai shingoni
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Kauli ya Rais kuwa "wametulalia sana kwa hiyo Na sisi tuwalalie"umeitafsiri vipi? Au kwenu ni sahihi ila kwao haramu?Kiongozi mkuu aina yake kwanini atoe lugha za mafumbo kwenye kadamnasi?
Unawaachia raia wenye mawazo tofautitofauti wakafanye homework ya kauli za kiasa? Hilo neno linatafsiri nyingi zaidi ya unavyofahamu wewe.
Hivyo usipende kubishana kwa kauli isiyo na fasiri na kuweka fasiri yako unayoona ni sahihi.
Mwache mtoa nada akafasiri hayo mafumbo yake kwenye mikono ya sheria.
Hata wasiomwelewa waweze kumuelewa.
Hili zee baada ya kuwachafua KKKT na matamishi yake ya udini sasa kahamia kwa WaislamuKama kweli Lowassa aliongea hivyo mbona walichelewa sana kumkamata huyu mtu!
Hiyo ndiyo hoja yako sio!?Subiri wenye akili kama zako watakusaidia ili upate cha kujadili ...
Ipi?Hiyo ndiyo hoja yako sio!?
"....msiwe baridi........."-E.L.
sikiliza kuanzia 1.44 na shirikisha kidogo akili utamuelewa!
Huyu mzee nadhani hakujiandaa kuongea yale maneno au amepewa taarifa za uongo na SefuLakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Kweli nimeamini hii nchi ina watu wa aina nyingi sanakwani kuachiwa leo maana yake hana kosa?
wakili wake amesema "shitaka ni uchochezi."
maana yake ana face shitaka la uchochezi.
Mkurugenzi wa upelelezi yeyote yule lazima amemuuliza, Mheshimiwa una maana gani kusema WAISLAM WAANZE KUONGEA LUGHA SERIKALI INAYOILEWA, UNATAKA WAFANYEJE, WATUNGUE RISASI ASKARI KAMA KIBITI?
Kati ya wanasiasa wote usingetegemea Lowassa ambae huwa anajiweka kama soft-spoken elder statesman anaependa maridhiano leo aseme Waislam siku hizi wamekuwa baridi.
Kasema anataka Waislam warudishe zile siku za misikiti kufuatiliwa na serikali. Mheshimiwa umejichafulia hadhi yako.
Endelea kujifurahisha ili upunguze mawazo kwa ajili ya kupigika,huyo ndiye Lowasa siyo kama wale mliozowea kuwanawanawaUnashida mahala siyo bure!
Unamjibuje mtu unaye mdharau?
Mzee wenu kadesa! Alifikiri bado ni enzi na kunyenyekeana na kubembelezana hizi?
Wachochezi ni wengi sana nchi hiiLugha ya waislam inayoeleweka wewe kwako ni kujilipua! kumbe wewe ndiye unatakiwa ukaripoti polisi!
Kumbe na hilo ni kosa?Alikosea. Na hii ni Mara pili nakumbuka kwenye uzinduzi as kampeni uchaguzi mkuu uliopita alisema akichaguliwa kuwa raid atawaachia wale mashehe waliofungwa.
Ahojiwe wapi wakati alikuwa anatekeleza ilani?Kuna mwingine alisema tukichagua upinzani ataingia msituni,hakuitwa kuhojiwa!
Mwaka huu ndiyo kila kitu kitajulikanaMatatizo ya Waislam ni pamoja na MOU Kati ya Makanisa na Serikali inayolazimisha Serikali kutoa ruzuku kuendesha Shughuli za Makanisa na aliesaini huo Mkataba upande wa Serkal ni Prof Mahalu na Edward Lowassa 1992, alitolee ufafanuzi badala ya kutafuta Kick za Kwmy Futari
Tension ya Kibiti imeletwa na CCM na dola ndiyo maana wanalengwa. Lakini ya masheikh wa uamsho ni ya uongo?
- Eti wamekuwa legelege na wamepoa, waongee lugha ambayo serikari itawaelewa
- Haya ni maneno ya kusema kweli? tena wakati ambao kuna tension iliyoletwa na mauaji ya kibiti