Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,962
- 146,250
Utajibu kuhusu hizi tuhuma au utaendelea kukwepa swali?
Nitajibuje tuhuma ambazo hazijaelezwa? Mimi sizijui ndiyo maana nikakuuliza uziseme tuone uongo wako.
Nimekupa nafasi uziseme, unashindwa, sasa labda mimi ndiye wa kukuuliza wewe, utazitaja hizi tuhuma au utaendelea kujificha nyuma ya pazia la "tuhuma" zisizotajika ?
Naona unajaribu kubadilisha mjadala kutoka kwa Slaa.
Mimi sina tuhuma, na hata kama ningekuwa nazo, mimi si mgombea urais useme kwamba nina significance kubwa katika maendeleo ya nchi.
Noblesse oblige, to whom much is given, much is required. Much is not given to me so much is not required.
Una distract attention from the main topic kwenda kwenye uongo ambao hata si issue ya thread hapa, the oldest trick in the book.