Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
You think you're so much smarter than everybody else, don't you? We've seen many of your type before. Unapenda sana kuwa centre of attention by going against the grain in almost everything just for the heck of it. Always bringing attention to your self and shit...your conceited mindset deludes you into believing you can counter-argue everyone in here on whatever issue under the sun.

Huyu kashindwa kujibu hoja kwa hoja anakuja na personal attacks hapa, issue ni Dr. Slaa na habari ya unyumba anaotuhumiwa kuharibu, sio mimi.

Mie hata si mtu muhimu hivyo.
 
Mlalamikaji huyo alidai, uhusiano uliopo kati ya watu hao wawili umemfanya adhalilike na kunyanyasika katika jamii na anaiomba mahakama kumzuia Dk. Slaa kuendelea kujihusisha kimahusiano na mkewe.

Hahahahaaaa...huyu jamaa (mlalamikaji) anachekesha sana. Eti kadhalilika na kunyanyasika ktk jamii. Hahahahahaaa.....hivi alikuwa wapi muda wote huo ku reconcile na mkewe hadi kusubiri hivi sasa?

Halafu yasemekana wakili wa bwana Mahimbo ni mgombea udiwani kupitia CCM.....

Wanacheza hawa....
 
Tusijaribu kupaka rangi ukuta mbovu...shairi zuri lakini mke kukukimbia si kuzidiwa. Sababu za kukimbiwa zinaweza kuwa nyingi tu! kwa mfano: waswahili wanasema huwezi kumfanya malaya mke...atakukimbia tu. Wengi tunampenda Slaa, swali: tendo hili angekuwa amefanya JK, tuliyechoshwa naye, tungetetea hili jambo??
 
tendo lipi unaloongelea hapa?
 
Slaa hajachana mkono wa yeyote hapa

Majununi uso kuni, maaluni wa kubuni, Usijitie huelewi jambo la msingi nililosema kwamba huhitaji kila kosa liandikwe katika katiba.

[/QUOTE]
Utavuta hili hadi kesho lakini bado unachofanya hapa ni uzandiki. Unataka kuleta morals zako ziwe standard ya kila mtu. Slaa hajavunja sheria yoyote ya nchi na ili unalijua vizuri.[/QUOTE]

Hapa swala si morals za ndoa, swala ni unafiki. Slaa kamtambulisha mwanamama kama mke wake kumbe muongo. Slaa anakuja na platform ya accountability wakati yeye mwenyewe katika maisha yake binafsi hayuko accountable. Slaa anakemea ufisadi kumbe yeye mwenyewe anafanya ufisadi lowest kabisa wa kwenda kubunja nyumba ya mtu ?

No katiba haitasema chochote specific kuhusu slaa, katiba itasema kuwa ni makosa kwa mwanamume A kuwa na uhusiano na mwanamke B (ambaye inasemekana kuwa aliachana na mwanamme C miaka kibao iliyopita).

Substitute A, B C with Slaa, Josephine and Mahimbo and you have our case. Wewe ulitaka katiba iandike majina ya watu ?

Uongo mwingine unaotaka kuuleta hapa - Slaa hajachukua mwanamke toka kwa mwanamme mwingine, Slaa kaanzisha uhusiano (wa uchumba) na mwanamke aliyeachana na mme wake.

Huwezi kuwa na uchumba na mwanamke ambaye ameolewa na hajaachika, huyu mwanamke hajaachana ma mme wake, hii ndiyo basis nzima ya hii saga yote.

Slaa ni bazazi tu, hana tofauti na kina Kikwete.
 
Slaa sio smart kabisa.

Anaweza kusakiziwa nyamafu akaliingiza taifa mkenge. Unless he comes out with a better story, hapa anajionyesha kuwa sawa - if not even worse than- na Kikwete.
Kwa vipi Mkuu ikiwa taifa letu litafaidika kama anavyofaidika yeye leo na nyama laini iweje aliingize taifa mkenge. Mwanamke katulia tuliii na maisha yanamwendea safi tofauti na jinsi lile jamaa lilidhania.

Mimi napenda sana viongozi wa namna hiyo kwani Marekani wanatoa nje na kuleta ndani. wanaweza hata kuua mtu wa nje kwa faida na maslahi ya nchi tofauti na kina JK ambao wanaimaliza nchi yao kwa kupeleka nje. hata mahusiano yao hawa jamaa wana unyumba kila kona ya mji, mkoa na kimataifa hali nyumbani wakiacha gharama zikichukuliwa na walipa kodi. Utanisamehe...

Sijui kaa umenielewa. Dr.Slaa kachukua kitu kaweka ndani na anafaidika kihali na mali, na huyo mke na watoto wamepata hospitality tosha kabisa kabisa. Lakini wajomba zangu wao wanazipeleka nje walikoficha account zao (vimada) wakihonga na kuingia mikataba feki kwa wake zao hali mali inatumwa nje.
 
Kwa mtazamo wangu naona huyu Josephine ameachana na mumewe bila kufata sheria za ndoa. Kinachombana ni sheria ya ndoa..Wanasheria wanaweza kulifafanua vizuri zaidi hili jambo bila kuleta ushabik
 
Kwa mtazamo wangu naona huyu Josephine ameachana na mumewe bila kufata sheria za ndoa. Kinachombana ni sheria ya ndoa..Wanasheria wanaweza kulifafanua vizuri zaidi hili jambo bila kuleta ushabik

Mpaka sasa nadhani tumesikia upande mmoja tu wa habari. Upande wa Josephine bado hatujausikia.
 
Majununi uso kuni, maaluni wa kubuni, Usijitie huelewi jambo la msingi nililosema kwamba huhitaji kila kosa liandikwe katika katiba.

Kiranga,

katika yote nitaomba hili hapa ulijibu, kama sheria haisemi kuwa kitu fulani ni makosa, ni nini tena kinatambulisha/kupima kosa?

Hapa swala si morals za ndoa, swala ni unafiki. Slaa kamtambulisha mwanamama kama mke wake kumbe muongo.

Uongo mwingine hapa, Slaa hajamtambulisha huyu mama kama mke wake.

Slaa anakuja na platform ya accountability wakati yeye mwenyewe katika maisha yake binafsi hayuko accountable. Slaa anakemea ufisadi kumbe yeye mwenyewe anafanya ufisadi lowest kabisa wa kwenda kubunja nyumba ya mtu ?

Utarudia hili mara mia lakini bado ni uzandiki tu.

Substitute A, B C with Slaa, Josephine and Mahimbo and you have our case. Wewe ulitaka katiba iandike majina ya watu ?

Hata hizo A, B, C bado hazijaweka kwenye katiba kwa hiyo hakuna cha substitution hapo.

Huwezi kuwa na uchumba na mwanamke ambaye ameolewa na hajaachika, huyu mwanamke hajaachana ma mme wake, hii ndiyo basis nzima ya hii saga yote.

Yes unaweza.....kuhusu ndoa hiyo ni case nyingine lakini uchumba hiyo inaruhusiwa kabisa. Uchumba hauwi bound na sheria za nchi lakini ndoa iko.

Slaa ni bazazi tu, hana tofauti na kina Kikwete.

All along, hiki ndicho unachotaka kufanya hapa, kumlinganisha Slaa na Kikwete.
Utetezi wako wa kifisadi unakufanya ulinganisha mtu aliyeuza Buzwagi kwa bei ya karanga na mtu aliyechumbia mwanamke aliyeachika.
 
Tusijaribu kupaka rangi ukuta mbovu...shairi zuri lakini mke kukukimbia si kuzidiwa. Sababu za kukimbiwa zinaweza kuwa nyingi tu! kwa mfano: waswahili wanasema huwezi kumfanya malaya mke...atakukimbia tu. Wengi tunampenda Slaa, swali: tendo hili angekuwa amefanya JK, tuliyechoshwa naye, tungetetea hili jambo??

Ahsante,

Mimi nawaambia wana JF hapa, kama mnasimamia priciple za kupinga uovu, basi pingeni uovu bila kujali kwamba aliyefanya ni Slaa au Kikwete, CCM au CHADEMA.

Tatizo watu wanataka kuvaa miwani ya mbao kama matatizo ni ya CHADEMA.

Kuna mkuu alitukumbusha huko juu, kipendacho roho, chongo huita kengeza. Hata Malcolm X alipokuwa katika Nation of Islam alipoanza kupata habari za ubaradhuli wa Elijah Muhammad kuwaingilia vimwana wadogo waumini wake na kuwapa mimba alitaka kumu excuse kwa kila jinsi aliyoweza, hakuweza kuamini ati. Mpaka baadaye alivyoenda Hajj na kurudi Marekani ndipo alipofunguka macho na kuona hila za Elijah Muhammad.

Najua baadhi yetu tuna shock kuona mtu kama Slaa ambaye tulimuwekea matumaini makubwa sana anakuja kutu dissapoint vibaya hivi.Lakini ukweli - so far- unaonekana kwamba Slaa is just a man na ana matatizo yetu yale yale ya kila siku, na ana matatizo ya integrity kama uongozi wetu wa sasa.

Kwa hiyo hata kama mnaenda kumchagua Slaa, mumchague huku mnajua hili.Kwamba msitegemee muujiza, na mambo yanaweza kabisa kuwa mabaya zaidi ya CCM.

I am not a CCM fan, but I am just asking myself, kama mtu ana guts za kupiga campaign ya urais huku amemuweka kinyumba mke wa mtu, je akipata urais atakuwa na guts za kufanya nini ?
 
Huelewi maana ya mchumba wewe. Unayemchumbia unaweza kumuoa, in fact unamchumbia ili umuoe, je unaweza kumuoa kihalali mtu aliye sparate na mme wake ?

Ukichumbia mtu sio lazima umuoe. Unaweza kuchumbia kwa miaka mitano na bado hiyo isiwe ndoa. Unaweza kuchumbia mtu aliyetengana (separate) kwenye ndoa na ukaja kumuoa baada ya kuwa divorce imekuwa finalized
 
Mpaka sasa nadhani tumesikia upande mmoja tu wa habari. Upande wa Josephine bado hatujausikia.
hapo ndipo nasema huyu jamaa angemshtaki Josephine halafu tungeona yaliyofichika. Huyu jamaa anajua fika kwamba Kumshtaki Josephine haiwezekani kwa sababu target yao ni Dr. Slaa ili kuonyesha bibie ni victim of circumstance.. alihadaika na Dr - unakumbuka jamaa kasema mwanamke alisema anaondoka ktk kibanda chake anakwenda kuishi ktk nyumba!!?.. hii yote picha imechorwa tayari.... isitokee tu huyu bibie naye akubali kwamba Dr. Slaa alimhadaa hadi kufikia kufanya maamuzi kinyume cha ndoa yake. hapo mkuu wangu itakuwa kibano - dr chupi itambana.
 
Kwa mtazamo wangu naona huyu Josephine ameachana na mumewe bila kufata sheria za ndoa. Kinachombana ni sheria ya ndoa..Wanasheria wanaweza kulifafanua vizuri zaidi hili jambo bila kuleta ushabik

Hata wewe wajua vyema kabisa kuwa sheria ya ndoa itambana iwapo tu ameolewa na mme mwingine. So far, hajaolewa na Dr Slaa, so sheria ya ndoa hapa (bila ushabiki) inaingia vipi?
 
Slaa sio smart kabisa.

Anaweza kusakiziwa nyamafu akaliingiza taifa mkenge. Unless he comes out with a better story, hapa anajionyesha kuwa sawa - if not even worse than- na Kikwete.

Kwani Kikwete kishasakiziwa nyamafu na kuliingiza mkenge Taifa mara ngapi? Usijifanye hujui mikenge ambayo Taifa limeingia kupitia kwa Kikwete.
 
Tujaribu kujadili huu mjadala, hapa tunazungumzia swala la Slaa na mke wa mtu! Ni jambo la maadili na sheria za ndoa...
 
hapo ndipo nasema huyu jamaa angemshtaki Josephine halafu tungeona yaliyofichika. Huyu jamaa anajua fika kwamba Kumshtaki Josephine haiwezekani kwa sababu target yao ni Dr. Slaa ili kuonyesha bibie ni victim of circumstances.. alihadaika na Dr -unakumbuka jamaa kasema mwanamke alisema anaondoka ktk kibanda chake anakwenda kuishi ktk nyumba?.. hii yote picha imechorwa.... isitokee tu huyu bibie naye akubali kwamba Dr. Slaa alimhadaa hadi kufikia kufanya maamuzi kinyume cha ndoa yake. hapo mkuu wangu kibano - dr chupi itambana.

mkandara, lakini huyu mama ameongea na kama sikosei maongezi yake yaliwekwa hapa JF.
akibadili story then mambo yatakuwa mabaya kwa Dr Slaa. akisema kile anachosema hapa kila siku, mambo mbona ni mswano tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom