Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
Kiranga ana different standards za raisi.
Anamtaka raisi awe na vimada kama kumi hivi (kikwete) ili mradi tu watu hawajaongelea habari zake.

Kiranga is in BIG TROUBLE today, Kimetoka kichwa kimeingia kichwa. Jamaa hana kwa kutokea.
 
FMES yupi? yule anayeforce kuwajua watu na kuwabambikia story hiyo hiyo moja ya kwamba kawaona kwenye basement DC? Story hiyo hiyo kambambikia Kuhani na Fundi Mchundo ?

Ni FMES amesema hivyo au unataka kutumia kichaka cha FMES kuendeleza uongo wako ulioanzisha hapo juu ?

Yup,

Anybody can say anything about somebody ....si ndio?
 
FMES hanijui na wewe hunijui, kama unataka kuleta utunzi wa hadithi endelea.
Mimi siamini katika ndoa, sijawahi kuoa, na sitakuja kuoa.

Na ukiendeleza kunichimba maisha yangu unaingilia kanuni zetu za respect for personal privacy hapa JF. Unataka kutumia hadithi za uongo kunifunga mdomo, kubadili habari.

Habari ni kuhusu mgombea urais, Slaa, usitake kubadilisha habari.

Sina mpango wa kukufunga mdomo. Ikiwa ndiyo hivyo, je wewe unaingilia personal life ya Slaa ili kumfunga mdomo?

Je utaeleza kuhusu ufisadi wako kwenye ndoa yako?
 
Kiranga ulivyoishupalia hii topic na jinsi unavyoonyesha ukaribu na mapenzi yako kwa chama chenye nyundo ya kuwakoma wananchi wake nafikiri lazima unazivuta kidogo kidogo kutoka kwa mafisadi kama baba yako siyo fisadi!!

Huyu jamaa alikuwa anajifanya kutoa ushauri kwa chadema hapa for a while (akidanganya watu kuwa yeye ana nia nzuri kwa upinzani). Mimi nilimkatalia kata kata.

Kiranga ni ccm damu damu. Soma maandishi yake. Anaua upinzani ili ccm washinde by default. mimi naufunua unafiki wake taratibu kama kumsukuma mlevi.

Mtu mwenyewe ana tuhuma za kufisadi ndoa yake lakini anataka kuongelea tuhuma dhidi ya wengine.
 
Kiranga ulivyoishupalia hii topic na jinsi unavyoonyesha ukaribu na mapenzi yako kwa chama chenye nyundo ya kuwakoma wananchi wake nafikiri lazima unazivuta kidogo kidogo kutoka kwa mafisadi kama baba yako siyo fisadi!!

Tatizo letu ni kwamba, tuko tayari sana kuishupalia CCM kwa ufisadi na unafiki, na mimi nimeshiriki sana kuiumbua CCM katika hili kwa hiyo wala huwezi kusema kwamba mimi ni shabiki wa CCM na watu wanaonifuatilia wakakuelewa, labda hawa "Augusteez" wasionijua.

Lakini nikitumia principles hizi hizi ninazotumia kuiandama CCM, nikizitumia kutaka accountability kutoka CHADEMA, naonekana mtu wa ajabu.

Why the double standards? Kwa nini hatutaki kutumia kipimo kile kile kwa CCM na CHADEMA ?
 
Sina mpango wa kukufunga mdomo. Ikiwa ndiyo hivyo, je wewe unaingilia personal life ya Slaa ili kumfunga mdomo?

Je utaeleza kuhusu ufisadi wako kwenye ndoa yako?

Sikujua kama mnaweza mkamkimbiza Kiranga hivi. The guy is so of himself naona leo hata ujuaji wa sheria kauweka pembeni kawa kama jamaa zetu wa stand ya mabasi wanavyobishana.
 
Tatizo letu ni kwamba, tuko tayari sana kuishupalia CCM kwa ufisadi na unafiki, na mimi nimeshiriki sana kuiumbua CCM katika hili kwa hiyo wala huwezi kusema kwamba mimi ni shabiki wa CCM na watu wanaonifuatilia wakakuelewa, labda hawa "Augusteez" wasionijua.

Lakini nikitumia principles hizi hizi ninazotumia kuiandama CCM, nikizitumia kutaka accountability kutoka CHADEMA, naonekana mtu wa ajabu.

Why the double standards? Kwa nini hatutaki kutumia kipimo kile kile kwa CCM na CHADEMA ?

Kiranga acha kuendeleza uongo,

Kipindi hiki hakuna aliyeshupalia ufuska wa Kikwete na wenzake. The same standard inahitaji pia watu watulie kwenye tuhuma dhidi ya Slaa.
 
Sikujua kama mnaweza mkamkimbiza Kiranga hivi. The guy is so of himself naona leo hata ujuaji wa sheria kauweka pembeni kawa kama jamaa zetu wa stand ya mabasi wanavyobishana.

Kiranga ameyataka mwenyewe.
Alianza na habari za kisheria akagundua kuwa kakosea. Ameanza na habari za morals huku akitumia story za uongo tu toka kwa watu wengine.

Standards zake mpya zinarudi kumlima mwenyewe.

Namsubiria ajibu tuhuma dhidi yake zilizotolewa hapa kuwa alifisadi ndoa yake.
 
Mkuu Kiranga,

Dr. Slaa hajavunja, habari zilizopo ni kuwa anaishi kinyumba na mke wa mtu. Mke mwenyewe amejitokeza na kusema, bwana aliingia mitini kumbe yapata miezi sita hivi!!!

Iweje huyu jamaa leo ndo astuke hana shuka wakati ni asubuhi tayari?

I am not interested na habari za huyu jamaa kumtelekeza mke wake kwa miezi sita, inawezekana wana magomvi yao, inawezekana mke ni kirukanjia, inawezekana bwana ni lowlife, hii issue inapata significance kubwa kutokana na Slaa, mgombea urais.

Kwa hiyo focus yangu inakuwa katika mgombea urais aliyekaa kinyumba na mke wa mtu, na kumtambulisha kama mke wake.

Hapo ndipo ninapoona kuna issue.
 
Sikujua kama mnaweza mkamkimbiza Kiranga hivi. The guy is so of himself naona leo hata ujuaji wa sheria kauweka pembeni kawa kama jamaa zetu wa stand ya mabasi wanavyobishana.

Nchi haiendeshwi kwa sheria pekee, inaendeshwa kwa kuheshimu mipango na ustaarabu.

Slaa kukaa kinyumba na mke wa mtu, na kumtambulisha kama mke wake kwa wapiga kura si tu ni ukosefu wa ustaarabu, anatuonyesha kwamba hafai kuaminiwa.
 
I am not interested na habari za huyu jamaa kumtelekeza mke wake kwa miezi sita, inawezekana wana magomvi yao, inawezekana mke ni kirukanjia, inawezekana bwana ni lowlife, hii issue inapata significance kubwa kutokana na Slaa, mgombea urais.

Kwa hiyo focus yangu inakuwa katika mgombea urais aliyekaa kinyumba na mke wa mtu, na kumtambulisha kama mke wake.

Hapo ndipo ninapoona kuna issue.

Bado unaendeleza uongo tu ili kum-smear slaa. Umeshindwa kuthibitisha kosa la Slaa hapa na sasa unaanza kwenda kwenye utambulisho - ongea kuhusu kuishiwa hoja.

Sasa back to the question, kwa nini unaandika uongo hapa?
Swali la nyongeza - una maelezo yoyote kuhusu tuhuma za ufisadi wa ndoa yako?
 
Nchi haiendeshwi kwa sheria pekee, inaendeshwa kwa kuheshimu mipango na ustaarabu.

Slaa kukaa kinyumba na mke wa mtu, na kumtambulisha kama mke wake kwa wapiga kura si tu ni ukosefu wa ustaarabu, anatuonyesha kwamba hafai kuaminiwa.

nyie wadaku tu wa ccm ndio mmeona hicho. Slaa amechumbia mwanamke aliyeachika. Kwangu hilo ni tosha sana na niko happy with that.

Sasa vipi kuhusu habari za ufisadi wa ndoa yako?
 
Kiranga,
Why the double standards? Kwa nini hatutaki kutumia kipimo kile kile kwa CCM na CHADEMA ?
Mkuu wangu hakuna mtu anazungumzia maisha ya viongozi wa CCM. Mchezo wa kuzungumzia maisha ya mtu wanayo CCM wenyewe hata wakati Malecela alipogombea Urais walianza kumsema ati kabadilisha dini anaitwa Jumannekwa sababu kaoa mke Muislaam, kama vile ni kosa kubwa sana kwa kiongozi kama yeye. Sijaona mahala Watu wakizungumzia maisha ya JK na wake zake kuwa issue ya kugombea uchaguzi pamoja na kwamba kuna siri kubwa sana...

Zaidi ya hapo swala la Dr.Slaa linachekesha, na pengine wewe huwezi kuelewa kwa sababu huamini maswala ya ndoa na una sababu zako ambazo zinakufanya kuitumia sheria ya ndoa unavyoamini ktk nyayo za kuooa mke..
 
Bado unaendeleza uongo tu ili kum-smear slaa. Umeshindwa kuthibitisha kosa la Slaa hapa na sasa unaanza kwenda kwenye utambulisho - ongea kuhusu kuishiwa hoja.

Sasa back to the question, kwa nini unaandika uongo hapa?
Swali la nyongeza - una maelezo yoyote kuhusu tuhuma za ufisadi wa ndoa yako?

Tuhuma gani za ufisadi? Ziko wapi ? Kati yako unayeleta hadithi zisizothibitishika hapa na mie ninayeongea vitu vilivyo katika public record nani muongo ?
 
Kiranga,
Mkuu wangu hakuna mtu anazungumzia maisha ya viongozi wa CCM. Mchezo wa kuzungumzia maisha ya mtu wanayo CCM wenyewe hata wakati Malecela alipogombea Urais walianza kumsema ati kabadilisha dini na kaoa mke Muislaam kama viole ni kosa kubwa sana kwa kiongozi. Sijaona mahala Watu wakizungumzia maisha ya JK na wake zake kuwa issue ya kugombea uchaguzi pamoja na kwamba kuna siri kubwa sana...

Zaidi ya hapo swala la Dr.Slaa linachekesha, na pengine wewe huwezi kuelewa kwa sababu huamini maswala ya ndoa na una sababu zako ambazo zinakufanya kuitumia sheria ya ndoa unavyoamini ktk nyayo za kuooa mke..

Hapa kuna suala liliopita maisha ya mtu binafsi.Dr. Slaa kamtambulisha huyu mama kwa wapiga kura kama mke wake wakati mama bado ni mke wa mtu.

Hili si swala la mtu binafsi, hili ni swala la public trust and misrepresentation.
 
Tuhuma gani za ufisadi? Ziko wapi ? Kati yako unayeleta hadithi zisizothibitishika hapa na mie ninayeongea vitu vilivyo katika public record nani muongo ?

Utajibu kuhusu hizi tuhuma au utaendelea kukwepa swali?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom