Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
Jamani kwenye ufunguzi wa kampeni za chadema Dr Slaa alimtambulisha Joshiphine kuwa ni Mke wake hata TBC jana kwenye taarifa ya habari wameonyesha tena

hata angemtambulisha kuwa ni mke wake wa ndoa bado si kosa kisheria! hata mimi naweza kutangaza kuwa Salma ni mke wangu wakati bado ameolewa na mtu mwingine, mtanishtaki kwa kufunga ndoa na Salma wakati bado kaolewa. Well you can't!
 
Nadhani mwanakijiji na shairi lake anaupotosha, kwa hivyo niki kuzidia ujanja kwa wife wako usilalamike? Jamani tuheshimu ndoa za watu mambo ya siasa tuyaweke kando kwenye maswala ya ndoa...

Kumbe MM ni mtangazaji wa ****************** let me trace ya voice!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mazee,

Mimi sijaongelea kabisa watu wampigie kura nani katika thread hii. Ninauchimba ukweli tu ili wanaopiga kura, vyovyote vile, wapige kura wakijua wanampigia nani.

Siyo lazima utamke waziwazi kuonekana uko upande upi. Maandiko yako yanaacha nafasi ya kutafsirika kwa kadiri mtu aonavyo. Kwa kuna ambao wataona wewe uko anti-CHADEMA/ Slaa na kuna ambao wataona wewe ni pro-CCM na kuna wengine kama ambao tunaona unasimamia kanuni zako bila kuangalia ni nani anahusika. Makundi yote haya yanaweza yakawa yako sawa ktk mitazamo yao au yanaweza yasiwe sawa. Mwisho wa siku ukweli unaujua mwenyewe.

Kama unaona Slaa anatufaa sawa, lakini lazima tujue kama Slaa ni bazazi la kukaa na mke wa mtu, kisha tukisema "potelea mbali" tuwe tunampigia kura huku tunamjua.

Well and good. Mimi ni mpenzi na muumini wa uwazi na ukweli hususan kwenye utumishi wa umma. Ila vilevile naelewa mipaka ya huo uwazi.

Hizi habari za kumfanya Slaa kama mtawa wakati ananuka ubazazi ndiyo sizitaki.

Hiyo impression ya Slaa kufanywa mtawa sijui unaitoa wapi.
 
Sasa kabla sijaandika chochote hapa, nitasubiria utoe maelezo ya tuhuma dhidi yako zilizotolewa hapa na FMES kuhusu ubazazi kwenye ndoa yako. Je ni za kweli?

kweli ukishangaa ya musa utayaona ya firauni
 
Siyo lazima utamke waziwazi kuonekana uko upande upi. Maandiko yako yanaacha nafasi ya kutafsirika kwa kadiri mtu aonavyo. Kwa kuna ambao wataona wewe uko anti-CHADEMA/ Slaa na kuna ambao wataona wewe ni pro-CCM na kuna wengine kama ambao tunaona unasimamia kanuni zako bila kuangalia ni nani anahusika. Makundi yote haya yanaweza yakawa yako sawa ktk mitazamo yao au yanaweza yasiwe sawa. Mwisho wa siku ukweli unaujua mwenyewe.

Well and good. Mimi ni mpenzi na muumini wa uwazi na ukweli hususan kwenye utumishi wa umma. Ila vilevile naelewa mipaka ya huo uwazi.

Hiyo impression ya Slaa kufanywa mtawa sijui unaitoa wapi.
Siwezi ku control speculations za watu, unaweza kusema "vote Slaa" watu fulani wakafikiri actually umesema "vote Kikwete" by some reverse psychology.
 
Kiranga,

Hujasema so far kuwa watu wampigie nani, lakini unasema kuwa wasimpigie Dr Slaa.

Sasa kabla sijaandika chochote hapa, nitasubiria utoe maelezo ya tuhuma dhidi yako zilizotolewa hapa na FMES kuhusu ubazazi kwenye ndoa yako. Je ni za kweli?

FMES hanijui na wewe hunijui, kama unataka kuleta utunzi wa hadithi endelea.
Mimi siamini katika ndoa, sijawahi kuoa, na sitakuja kuoa.

Na ukiendeleza kunichimba maisha yangu unaingilia kanuni zetu za respect for personal privacy hapa JF. Unataka kutumia hadithi za uongo kunifunga mdomo, kubadili habari.

Habari ni kuhusu mgombea urais, Slaa, usitake kubadilisha habari.
 
Nadhani mwanakijiji na shairi lake anaupotosha, kwa hivyo niki kuzidia ujanja kwa wife wako usilalamike? Jamani tuheshimu ndoa za watu mambo ya siasa tuyaweke kando kwenye maswala ya ndoa...

Kumbe MM ni mtangazaji wa ****************** let me trace ya voice!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi nashangaa watu wanashabikia ubazazi, eti kwa sababu umefanywa na Slaa.
 
uh uuh:smile-big: aaah:smile-big:..spesho dekikesheni to mr. MYmbo..hii imetulia Mwanakijiji, naomba fanya uwezavyo kwa gharama yoyote ile patia sisi utenzi mzuri kwa jina la SARAKASI JUKWAANI-AISEE.
 
Nadhani mwanakijiji na shairi lake anaupotosha, kwa hivyo niki kuzidia ujanja kwa wife wako usilalamike? Jamani tuheshimu ndoa za watu mambo ya siasa tuyaweke kando kwenye maswala ya ndoa...

Kumbe MM ni mtangazaji wa ****************** let me trace ya voice!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

muwe mnasoma basi kinachosemwa; ninachoona ni masalia ya fikra za mfumo dume.
 
Mimi nashangaa watu wanashabikia ubazazi, eti kwa sababu umefanywa na Slaa.

hapana hata kidogo.. rudi kuanzia masuala ya Amina Chifupa, Mengi, n.k utaona msimamo wangu haujashift an iota..
 
Mimi nashangaa watu wanashabikia ubazazi, eti kwa sababu umefanywa na Slaa.

Kiranga ulivyoishupalia hii topic na jinsi unavyoonyesha ukaribu na mapenzi yako kwa chama chenye nyundo ya kuwakoma wananchi wake nafikiri lazima unazivuta kidogo kidogo kutoka kwa mafisadi kama baba yako siyo fisadi!!
 
Kuna habari za kuaminika kwamba Josephine alilazimika kutengana na mzazi mwenzake kwa kile kinachosemekana kwamba ni tabia ya kinyama na kiuwaji ya huyo jamaa yake, kwamba amewahi kumkuta mara kadhaa akilazimisha kumwingilia kimwili (kumunajisi) mtoto wao mkubwa kwa kile alichoamini kwamba si mtoto wake bali Josephine alizaa nje ya ndoa kwani jamaa ana mbegu dhaifu zisizoweza kutungisha mimba!

My take:

Namshauri Josephine amfungulie kesi huyo jamaa kwa uovu huu uliokithiri. Ikibidi afungue kesi nyingine ya madai alipwe fidia ya kunyanyaswa kisaikolojia kwani kitendo hicho cha kunajisi mtoto kwa vyovyote vile ni dhahiri kwamaba kilimuathiri sana kisaikolojia hadi kupelekea kuathiri maisha yake na ya watoto wao kwa ujumla baada ya wazazi kutengana. Tena ikibidi adai fidia ya zaidi ya billion 2.
 
OKOKOK,

CCM mafuska,

Na Dr. Slaa kuvunja ndoa za watu ni nini ?

Mkuu Kiranga,

Dr. Slaa hajavunja, habari zilizopo ni kuwa anaishi kinyumba na mke wa mtu. Mke mwenyewe amejitokeza na kusema, bwana aliingia mitini kumbe yapata miezi sita hivi!!!

Iweje huyu jamaa leo ndo astuke hana shuka wakati ni asubuhi tayari?
 
Kiranga,
Mimi siamini katika ndoa, sijawahi kuoa, na sitakuja kuoa.
Duh mkuu yamekukuta yapi tena...
Ok kumbe ndio maana hawezi kuwaelewa jamaa..
 
MMKJ
nilikuwa sijacheka wiki hii, lakini nimejikuta ghafla nikivunjika mbavu jioni hii..LOL! ujumbe wako murua kabisa.
Niliiona hii clip tangu asubuhi, lakini sikuweza kuisikiliza.
Duh!! you are a real comedian. Uliyoyasema ni logic tupu japo kuna wengi wetu watakubishia.
Yaani umenipagawisha kwa kumalizia na Carolina.
 
Kiranga,
Duh mkuu yamekukuta yapi tena...
Ok kumbe ndio maana hawezi kuwaelewa jamaa..

ndugu yetu kama haamini katika ndoa sielewi kwanini anaitetea sana with a sense of absolute conviction.. !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom