Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

Binafsi hii Vita inanishangaza Sana Hawa walokole wetu huku tandahimba Wana Kesha kuomba Israel washinde, yaan wawapige wenzao Kisha washinde wao.

Lau wangejua taifa teule linalotakikana kutakiwa Aman kwa mujibu wa biblia Ni lakiroho na Wala sio hao wanaopigana Vita na kuua kila leo.
Lau wangejua mji mtakatifu wa Jerusalem unatakiwa kuombewa amani sio huo Bali Ni wa kiroho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala haizunishi kuliko Msumbiji alshabab na isis wanachinja watu na hamna tamko lolote la kulaani kutoka kwenu. Israel iendelee na huu huu msimamo. Walijitakia wenyewe.

NO MERCY
Hamas waache uchokozi
 
Israel inashambulia majengo marefu sio kwasababu ya Hamas kufanyia shuglizao, bali Hamas wanatumia majengo hayo marefu kufyatulia makombora yanayotua kwenye miji mikubwa ya Israel
Ndo Shughuli zenyewe hizo sasa.
 
Si tuliambiwa wa ajemi (Iran) ni noma sana mbona wanakodoa mimacho tu ndugu zao wakivutwa sharubu…
 
Dah! Israel habari nyingine, yaani kombora linashusha jengo moja na kuacha mengine.
Hapo wametuma ujumbe fulani na umepokelewa na walengwa.
We mkenya hiv una akili kwel..hakuna bomu la kutupwa na ndege linaweza shusha hilo jengo kwa namna hiyo..hilo jengo limekua demolished kwa...kabomu kajuu ni ka kuzugia tu...na ndo kilichofanyika hata 11/9...na ndomana siajabu watu wa humo waliambiwa watoke kwenye hilo jengo....kinachofanyika ni kwenye foundation ya hilo jengo vinawekwa vilipuzi kwa mshazali..yaan kwenye slope. Vinachimbiwa kwenye nguzo zinazoshikilia jengo halaf vinalipuliwa....kama kombora la juu ungeona uharibifu unaanzia juu..punk
 
Hawa jamaa ni marafiki, wanatiana tu adabu...hawana shida ya kuua, kumbe na taarifa wanapeana, hii imekaaje???
Israel interagencia yao ndefu. Kila wanapopiga wanapolenga kupiga ujue wanajua kabisa kuna washambulia wa Hamas wamejificha hapo,na ndipo wanapotokea kufanya mashambulizi dhidi ya Israel. Na ile hali ya kuwaataarifu,ni kuwatoa wasiohusika,hata wakitoroka na wanaohusika wanachotaka ni kusambaratisha maeneo yote ngome za Hamas. Ndio maana walivyowataarifu saa moja tu ya kuondoka,mwenye jengo akaomba muda zaidi,Israel wakakataa kwa maana hawakutaka kuwapa nafasi ya kuhamisha vifaa zaidi vya Hamas.
 
⁰Shenzi mi nilisema achaneni na hao watu waliapa ukiua mmoja wetu tunaua 100 wenu.
Ndo kinachoendelea
 
Ila hapa muisrael amechemka unaachaje kupambana na hamas unapiga tu majengo ya vyombo vya habari
... mmiliki wa jengo ni kati ya wafadhili wakuu wa magaidi - HAMAS. Lengo ni kupunguza mirija ya ugaidi.
 
We mkenya hiv una akili kwel..hakuna bomu la kutupwa na ndege linaweza shusha hilo jengo kwa namna hiyo..hilo jengo limekua demolished kwa...kabomu kajuu ni ka kuzugia tu...na ndo kilichofanyika hata 11/9...na ndomana siajabu watu wa humo waliambiwa watoke kwenye hilo jengo....kinachofanyika ni kwenye foundation ya hilo jengo vinawekwa vilipuzi kwa mshazali..yaan kwenye slope. Vinachimbiwa kwenye nguzo zinazoshikilia jengo halaf vinalipuliwa....kama kombora la juu ungeona uharibifu unaanzia juu..punk

Mbona kama umemind sana, hehehe isije kuwa wewe ni wale waarabu weusi yaani huwa mnahemka sana yule bwana akipokea kipodo.
 
Back
Top Bottom