Marekani yapokea ombi la Wapalestina yasema hawataondolewa Gaza baada ya Vita kwisha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Waziri wa Foreign mh Blinken amesema Marekani haitaunga mkono wazo lolote la kushawishi Wapalestina waondolewe Gaza na badala yake Wapalestina watarejea Kwenye makazi yao hali itakaporuhusu baada ya Vita kwisha

Blinken alikuwa anaongea na Waandishi wa habari wa Kimataifa jijini Tel aviv nchini Israel

Source Al jazeera news

Mlale unono
 
Wapopokee wasipokee hilo israle hataliweza ngo
 
Bado wanaongelea tena Gaza wakati tayari imeshafutwa kwenye ramani ya dunia.
 
Bado wanaongelea tena Gaza wakati tayari imeshafutwa kwenye ramani ya dunia.
unaota Wewe,wazayuni Wanahaha Kila Siku Wanauwa Waandishi Wa Habari Ili Wasitoe Habari Kuwa Wanachapika.Taifa Linapigana Na Kikundi Cha Watu Kwa Miezi Sasa Ni Aibu
 
Haya waendelee tu kukamatia huku Gaza inageuzwa majivu na wapalestina wanaendelea kufa kama kuku Benjamin netanyahuu huwa hacheki na kima
Hata yeye mwenyewe kima

Unadhani kufa ajabu hem tuone kama yeye paka ataishi milele

Kufa watakufa ila lazma waitetee ghaza na Palestine kwa ujumla wake
 
Back
Top Bottom