Walianza wanaita SMO ila SMO ndo wanatafutwa wao sasa kaz imekuwa kurushia mawe mtaa wa pili hawawez sogea walipopateka janaHivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
Huyo soldier kafa kifo Cha mateso sana 🥱🥱Daa,maisha haya...daa
Daa,maisha haya nyie
Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
vipi kombe la dunia kazuia kweli maana mbulukenge mlisema kwa kuwa timu ya russia imeondolewa kwenye kombe la dunia hivyo halitachezwa sasa nauliza halitachezwa kama alivyosema.Kumbe mmekimbilia huku. naona mmeanzisha uzi wa kufarijiana.
Tuliwambia kuwa Urusi ana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ile Duniani na hakutakuwa na kenge yoyote yule wa kunyoosha hata kidole
"Volodymyr] Zelensky and his henchmen will have to answer before the court of history, the peoples of Russia and Ukraine for every tortured and executed prisoner of war," the MoD said in a briefing Friday.
"The intentional and methodical murder of more than ten immobilized Russian servicemen by degenerates from the Ukrainian Armed Forces by gunshot to the head cannot be presented as a 'tragic exception' against the background of the supposed general observance of the rights of prisoners of war by the Kiev regime," the military added.
Hakufa...alifanikiwa kusepa.
AlikufaHakufa...alifanikiwa kusepa.
Endelea na ubishi wako.Alikufa
anapigania alicholia kiapo kwenye kazi yake, kuitetea nchi yake hadi tone la mwisho la damu yake...Kuna mpuuzi fulani wa nchi jirani anataka kuhatarisha usalama wa nchi yake kwa kutaka kuwasogeza jirani maadui wa nchi yake kwa kupitia mlango wa kujiunga na umoja wa ulaya.Huyo maskini dogo anapigwa bomu amelala kwenye mtaro akiulizwa anapigania nini haswa.....