Video: Hadi huruma, hivi Urusi mbona anatesa hawa vijana wake

anapigania alicholia kiapo kwenye kazi yake, kuitetea nchi yake hadi tone la mwisho la damu yake...Kuna mpuuzi fulani wa nchi jirani anataka kuhatarisha usalama wa nchi yake kwa kutaka kuwasogeza jirani maadui wa nchi yake kwa kupitia mlango wa kujiunga na umoja wa ulaya.

Hehehe huu wimbo Putin alishautelekeza nyie wa kwa Mtongole hapo Bongo bado mnauimba, kuhusu kuzuia Ukraine kujiunga NATO sio kipau mbele tena, amebaki kukusanya wanywa gongo na wafungwa wajaribu kusaidia kwenye kupunguza mapigo wanayopokea kutoka kwa machizi wa Ukraine, ila kipigo kiko pale pale, HIMARS zinarindima balaa la kufa mtu.
 
bbc taifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom