Venezuela yashambuliwa na Marekani

Raisi wa Colombia si alisema Venezuela ikivamiwa atatuma jeshi la Colombia kusaidia. Vipi huko ?


Ama kweli usije kuamini maneno ya mtu kuwa atakusaidia
 
USA anatumia ubabe kutaka kuchukua mafuta bure huko Venezuela na Iran utajiri wao ni wa kuua raia wengine ili wao waishi njema sio.

Wapo karibu sana na maandamano ya Iran kwa sababu ya mafuta.
Mafuta bure?? Endelea kujifariji tu!!!
 
Kwa hiyo Maduro na Samia hawana tofauti? Kama ni hivyo basi wamarekani wamtandike na kumtoa madarakani.

Likewise, Samia has to be ousted, ukiuwa watu wako kwa upanga you don't deserve to lead them.
 
Nchi iko uchi, nadhani kama wataivamia nchi kama Tanzania wakitaka kufanya yao ni masaa kadhaa wapo chamwino/magogoni.
Tanzania wanapiga ngerengere, mwanza, Monduli, Upanga, Chamwino, Kigamboni, Twalipo, Gongolamboto
Kazi inakuwa imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…