Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,107
- 2,785
Hao ni nyuki wa mashineni mbele ya marekani. Urusi mpaka leo anahangaika na Ukrain ambaye yuko ubavuni mwake, mwenzie anayejiringanisha naye ametumia masaa kadhaa tu kupiga na kuondoka Rais na nchi.Hawana maslahi hapo. Mbona USA wenyewe Ukraine wanasaidia kwa mbaaaali?
Mkuu, inamaana mkewe ndiye alikua Vice President? Kama jibu ni YES basi bora walivyomtoa.Wananchi hawajui Rais alipo wanaomba kuhakikishiwa uhai wake.
View attachment 3524585
Waabudu mtu anayekunya wako kaziniIla nguruwe tamuu
Utawala wa Iran uko kama wa ccm tu.Ongea na raia wa Iran akupe ushuhuda acheni kuleta upumbavu.
Mnaipinga CCM tanzania ila yakitokea ya CCM nchi zingine mnaanza kuleta huruma.
Nakwambia Tena tafuta raia wa Iran akuchambulie issue za Iran tangu Nchi Yao ivamiwe na tawala za kiislam.
All in all utawala wa iran uliingia Kwa mapinduzi na wao wataondoka Kwa mapinduzi.
Pole sanaAngekuwa deep leo hii Moscow ingekuwa inawaka moto na tupo kwenye WW3
Wananchi hawajui Rais alipo wanaomba kuhakikishiwa uhai wake.
View attachment 3524585Aibu sana ila yaonekana hata wao walimchoka
Bado sana, mmarekani hana maslahi napo, ingekuwa ana maslahi napo basi kitambo tu bi. Titi asingekuwepo madarakaniKombora lingine likagonge pale alipo manyonyo
Wale wapasua tofali hawawezi kazi kama hiyo?Jamaa wanatisha. Special f9rces zao ni special kweli.
Hao ndiyo wameuza gameKila nikikumbuka wale makomandoo wa Venezuela walivyokuwa wanachora chora kwenye ramani strategies zao, naishia kushangaa
Siyo kila nchi ina script ileile,urusi hakua na koloni afrikaHao FSB wameshindwa kumuondoa Zele
PoleRussia anapata Moyo wa kuendelea kuishikilia Ukraine.Zele ajiandae soon atakuwa mikononi mwa Putin. Kwanza Zele bila mkono wa EU na NATO angekuwa mikononi Putin muda mrefu tu.
Kitambo tu tungekua kama DRC,usingemjua rais yeyote unayemjua sasaBado sana, mmarekani hana maslahi napo, ingekuwa ana maslahi napo basi kitambo tu bi. Titi asingekuwepo madarakani
Russia hana time ya kumdaka kiongozi wa nchi,yeye anachukua maeneo yenye rare Earths na kilimo,anatulia,zelensky miaka mitatu kazeeka kama imepita miaka 15Russia anapata Moyo wa kuendelea kuishikilia Ukraine.Zele ajiandae soon atakuwa mikononi mwa Putin. Kwanza Zele bila mkono wa EU na NATO angekuwa mikononi Putin muda mrefu tu.
Kamfundisha Russia jinsi ya kupigana vitaImekuwaje kirahisi hivyo Marekani kuingia ndani ya Venezuela, tena kwa kuingiza wanajeshi wa kumsaka Maduro?
Zele ndiyo kizuizi au anachelewesha.Amechelewesha.Russia hana time ya kumdaka kiongozi wa nchi,yeye anachukua maeneo yenye rare Earths na kilimo,anatulia,zelensky miaka mitatu kazeeka kama imepita miaka 15