VAT katika Utalii: Prof. Maghembe asema hatuhitaji watalii masikini

VAT katika Utalii: Prof. Maghembe asema hatuhitaji watalii masikini

Philippine wana visiwa 7107 utalii ndio unaoingiza mapato makubwa serikalini, kuna wafanyakazi 3million kwenye sekta ya utalii.

Tourism is the biggest industry in the world. Je inahitaji elimu kubwa kujua hilo? Wanapoenda Dubai hawajui wanachangia pato la UAE kwa kupanda ndege zao tu?

Haya na kesho watalazimisha kila mtalii ashukie Serena
 
Hivi kwamfano you have a product or service you are selling, do you really care about the net worth ya the consumer atakae nunua hio bidhaa. As long as the money you get inacontribute to your income/revenue, it doesn't really matter.
Hizi kauli sio za kutamkwa especially by a minister.
 
Ni msalaba kwa nchi kuwa na professor mjinga mjinga kama Maghembe! Hivi anayepokea watalii 100 wanochangia USD 10,000 na mwingine akawa nao 10,000 wanaochangia USD 500 kila mmoja nani atakuwa amepiga zaidi? Huyu mjinga anastahili kutumbuliwa haraka sana!
 
sisii wandani si ndiyo maskini sana. anasemaje kuhusu utalii wa ndani?. wafanyakazi watanapa wakianza kudharau watalii atawalaumu?. nchi yenyewe chafu, tajiri gani atakuja. aache kwenda paris?.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%, kuna watalii wengi sana choka mbaya wanakuja wanakaa beach wanaunua maji ya Kilimanjaro wanakula chips mayai na kuondoka lkn wanaingia kwenye takwimu hao hatutaki hao kwanza wanachafua na kuharibu mazingira yetu, tuwekeze kwa Watalii middle class na wenye fedha siyo watalii beach boy!

Hii ndiyo Serikali niliyokuwa naishubiria maisha yangu yote!​
Kule Gisenyi ndiyo mnafanyaga hivi au umeamua kutumia ujinga ili uishi TZ?
 
Kila serikali ina sera zake. Tanzania iliamua karibu miaka 10 sasa kama siyo zaidi kuachana na bag pack tourists na wanalipa ada ya visa. Pia Hoja tukakataa kuingia kwenye mkumbo was visa ya pamoja Afrika Mashariki. Kitakwimu Tanzania imekuwa inapokea watalii wachache ikilinganishwa na Kenya lakini mapato yanalingana kama hatuazidi. Ili hoja iwe na mashiko bora kuweka takwimu za mapato yanayopatikana badala ya kumkebehi Prof Maghembe. Tujaribu kulitendea haki jukwaa hili
So hiyo kauli ya huyo Rumbesa ni sawa?
 
Ni msalaba kwa nchi kuwa na professor mjinga mjinga kama Maghembe! Hivi anayepokea watalii 100 wanochangia USD 10,000 na mwingine akawa nao 10,000 wanaochangia USD 500 kila mmoja nani atakuwa amepiga zaidi? Huyu mjinga anastahili kutumbuliwa haraka sana!

Mkuu kwakweli mimi sikubaliani na lugha aliyotumia waziri...ilikua ni dhihaka ile...na kwakweli huko nje wakiambiana kwamba waziri wetu kaongea hivyo..watalii wote ("matajiri" na "maskini") wanaweza kutunyanyapaa.

That being said, kwa kiasi flani policy direction ya Tanzania ya kutokufocus kwenye mass tourism na baada yake kupromote high end tourism imezaa matunda. Hebu nenda uangalie takwimu za kenya na ulinganishe na tanzania. Utaona kwamba kenya wamepokea watalii wengi sana kuliko Tanzania..lakini mapato yetu yamelingana
.saa nyingine tumewapita. Advantage ni nini? Mazingira ya kwenye mbuga hayajawa affected na utitiri wa watalii wengi kama ilivyo kwa Kenya..lakini wote tumepata dola sawia.
 
Hueleweki......mtalii analipa kwa USD au Kenyan shilling?

Kaka hapo ni ralativity ! Mtalii atalipa dolla in relation to local currency ! Kwa mfano ! Kama mkenya atataka laki ksh , basi ata i convert ilipwe kwa dolla ! Likewise na sisi tukitaka laki moja tsh , tuta lazimika pia kuipeleka ktk dolla ! Sasa piga mahesabu yako laki ya Kenya na laki ya bongo ni sawa na dolla ngapi on each state!? Nafikili umeelewa !
 
Kaka hapo ni ralativity ! Mtalii atalipa dolla in relation to local currency ! Kwa mfano ! Kama mkenya atataka laki ksh , basi ata i convert ilipwe kwa dolla ! Likewise na sisi tukitaka laki moja tsh , tuta lazimika pia kuipeleka ktk dolla ! Sasa piga mahesabu yako laki ya Kenya na laki ya bongo ni sawa na dolla ngapi on each state!? Nafikili umeelewa !

Mkuu kwa hapa Tanzania its the other way round. USD ndio basis. Na kama utataka kulipa kwa shilingi..utalipa in relation to the prevailing exchange rate...na sehemu zingine hata shilingi yenyewe hawakubali (eg visa fees mpakani). Ukienda hotelini..rate kwa mfano ni $80/night. Ukitaka kulipa in TZS....watakokotoa kwa exchange rate ya siku hiyo. Wakati south africa..rand yao ndio basis..hakuna hoteli.ambayo ina quote rate zake kwa USD..na kama unazo USD unaambiwa uende bureau uzichange ndio uje ulipe.
 
Professor nae,, nchi yetu itakua kama congo hao wanyama wenu watakua kitoweo cha majamaa wa UN kama wale wa goba
 
Kaka hapo ni ralativity ! Mtalii atalipa dolla in relation to local currency ! Kwa mfano ! Kama mkenya atataka laki ksh , basi ata i convert ilipwe kwa dolla ! Likewise na sisi tukitaka laki moja tsh , tuta lazimika pia kuipeleka ktk dolla ! Sasa piga mahesabu yako laki ya Kenya na laki ya bongo ni sawa na dolla ngapi on each state!? Nafikili umeelewa !

Ndugu,

$1 = KSHS 101 = TZS 2,200

Kusema mtalii atakuja Tanzania kwa sababu ya currency yetu ipo chini ni kupotoka kwa sababu kwa mfano wako, ukiwa na TZS 100,000 ina maana una KSHS 4,545 au US$ 45. Hivyo ukiongeza gharama hapa (VAT) ina maana ana-save in Kenya and not in TZ.

Pia watalii wananunua package in US$ kutoka kwa tour company. Hivyo hizi gharama zinaenda kuongezeka bei ya packages kwa watalii huku za wakenya zikibaki pale pale au kushuka.

Halafu hizi park fees zilizoekewa VAT zipo charged in $ and not local currency kwa non-residents. Biashara hii inacharge watalii in US$ and not local currency.
 
Wewe mama usidhani tunamwekea maneno mdomoni huyo Waziri wako wa serikali ya majipu, ni kweli kabisa maneno hayo kayatamka na tumemsikia kwa masikio yetu wenyewe na kumuona kwenye luninga saa 2 usiku huu kupitia Star TV.

Weka nukuu ya maneno ya Maghembe, wacha porojo.
 
Maghembe ni mojawapo ya mawaziri wepesi
Kinana na Nape walilalama kwamba Magembe ni waziri mzigo, Ester Bulaya naye akatuambia Maghembe ni mwepesi kama toilet paper sijui nani mkweli na lipi linamfaa?
 
Said Micahel aliishatoa hoja yake kuhusu re profeseri
Katuni Jun 8.jpg
kwa ufasaha kabisa
 
Katika taarifa ya habari ya star TV prof maghembe amesema Tanzania inahitaji watalii wa hadhi ya juu na sio masikini(wa bajeti)
Watanzania tuna mbwembwe,huu uchumi unaochechemea ndio tunaoringia!??
Kuna Msemo tz. Ilikuwa inakwenda vizuri hadi siasa ilipoingia. I.e hadi Ccm alipogusa na kunajisi.wajamaa wanataka pesa ila hawajui kutafuta. Ndio maana siku zote huwanyonya Masikini na kunajisi maendeleo. Wenzao wanaandaa package za bei rahisi ili wauze. Huyu boya hajui hao matajiri si wote tuna huduma za kuwafaa na serikali yake haina hela ya kawekeza hivyo.
 
Hatutaki watalii masikini. Wanatuharibia mazingira yetu. Mlima Kilimanjaro upa TZ tu, Ngorongoro ipo TZ tu, Serengeti pia.
Masikini wabaki kwenye nchi zao. Sisi hatutaki Mass tourism.
Hao watalii matajiri mtawapokelea wapi kwa barabara zenu za vumbi na mashimo kibao. Vihoteli viko vichache vyenye hadhi na hamjawekeza chochote kwenye kuvutia watalii. Unalala kwenye mkeka unajifanya wewe tajiri na kuchagua wa kukutembelea. Hii nchi ina laana na umaskini kamwe hautaisha
 
South Africa is strong in economic growth and 2ND IN Africa.... Tanzania Katika Africa tuna rank ngapi?

South Africa tumewazidi kiasi gani kwa vivutio? Table Mountain is World 7 Natural wonder, Kruger National park, durban beach, Drakensberg climbing.... Who know Cable car on there....

Kwa Nini South Africa wasiseme hawataki watalii masikini? Quoted..........Some where...

Kwani mtalii masikini na Tajiri tofauti yao ni nini ==== They park same Park entrance fee

Travel in Same Safari Car..

In the Lodge, Government get tax as usually and profit goes to Investor.....

Sasa serikali inavyomkataa mtalii budget, anapata faida gani.....Huyo mtalii tajiri analipa park fee kubwa zaidi? No

Tena ndo wataua Southern circuit kabisa, hakuna mtu atakanyaga selous au Ruaha.

Kwanza flight tickets from USA or Europe to Kenya or South Africa is cheap? Who know reasons?

Kwa nini watalii wanakwenda Kenya ndo waje Tanzania?

Tourism Economic effects touches many industries/sectors like Agriculture, Energy (magari ya utalii yanatumia fuel) e.t.c

Watanzania wauza wapi mboga mboga na matunda?

If few rich tourists visit Tanzania come to Tanzania what are damages:

A - Less park fee government will get (remember rich or poor tourists pay same amount of conservation park fee)

b- Less market of agriculture products

c- Less employment

D- Less economic multiplier effect

E - Less amount of forex (Euro and US $) will enter country and shilling value will drop

G - Due to unemployment, security is threatened due to jobless......
 
Back
Top Bottom