Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,063
- 2,875
Nilikutana Na watalii vijana 5 toka USa wakanieleza wao ni students, walisave fedha yao wakaja Africa kuona wanyama pori. Walitumia usafiri wa Bus to Arusha walilala Guest house za bei poa. Nao pia ni utalii. Labda waje kina Bill Gates, Slim na Trump.Nimeshangaa sana....nchi hii ina safari ndefu