Naionea huruma hii idara!Katika taarifa ya habari ya star TV prof maghembe amesema Tanzania inahitaji watalii wa hadhi ya juu na sio masikini(wa bajeti)
Watanzania tuna mbwembwe,huu uchumi unaochechemea ndio tunaoringia!??
Naionea huruma hii idara!Katika taarifa ya habari ya star TV prof maghembe amesema Tanzania inahitaji watalii wa hadhi ya juu na sio masikini(wa bajeti)
Watanzania tuna mbwembwe,huu uchumi unaochechemea ndio tunaoringia!??
Kweli kabisa....tunawahitaji watalii wote bila kubaguaLeo backpackers wanatukanwa na waziri wa utalii na maliasili.
Haelewi ni kiasi gani backpackers hawa wanachangia kuleta watalii wengine, kuchangia mapato ya serikali na uchumi kwa ujumla.
Kwa nchi inayotaka kukuza utalii, haya si maneno yanayopaswa kusemwa. Tena na waziri. Waziri mwenye PhD. Elimu ya Tanzania ni mbovu zaidi ya tunavyofikiria.
Lakini nchi hii kesho ataingia ofisini, atasalimiwa "Shikamoo Mzee", atatengenezewa chai na ataingia kwenye cabinet meeting bila hofu yoyote ile.
Nchi yetu ingekua binadamu tungesema tatizo letu si kilema cha mkono wala mguu bali ni ubongo.
Umelewa uccm. Najua haya uliyoyaandika si dhamira yako halisi, bali utumwa wa tumbo lako tu. Huyo mtalii unayemuita "beach boy" analala bure au anakula bure? Kama siyo, je haingizi kipato kwa watanzania kupitia huduma anazopata? na serikali haipati kodi yake? Watu kama wewe ndio wanarudisha taifa hili nyuma.Naunga mkono hoja kwa 100%, kuna watalii wengi sana choka mbaya wanakuja wanakaa beach wanunua maji ya Kilimanjaro wanakula chips mayai na kuondoka lkn wanaingia kwenye takwimu hao hatutaki hao kwanza wanachafua na kuharibu mazngira yetu, tuwekeze kwa Watalii middle class na wenye fedha siyo watalii beach boy!
Hii ndiyo Serikali niliyokuwa naishubiria maisha yangu yote!
Umelewa uccm. Najua haya uliyoyaandika si dhamira yako halisi, bali utumwa wa tumbo lako tu. Huyo mtalii unayemuita "beach boy" analala bure au anakula bure? Kama siyo, je haingizi kipato kwa watanzania kupitia huduma anazopata? na serikali haipati kodi yake? Watu kama wewe ndio wanarudisha taifa hili nyuma.
Wewe Barbarosa sikuwezi. Umeshakunywa maji ya kijani nadhani. Kila lisemwalo na serikali au chama cha kijani wewe ni ndio tu. Jipe muda wa kutafakari mambo brother.Hatutaki ma beach boy hao kwanza wanachafua mazingira na kuambukiza dada zetu magonjwa pmj na kufundisha vijana wetu kubwia unga, tunataka watalii wastaarabu wenye fedha, mtalii ambaye anakuja TZ siku 10 anaacha dola 10 000 anondoka na siyo wa kushinda coco beach na forodhani Zanzibar tangu asubuhi kanunua chuap ya maji ya Kilimanjaro kwa mangi na kula chips mayai au mihogo coco hao hatutaki wabamkie hukom huko, tuna uwezo kabisa wa kuchagua na kuvutia watalii wenye fedha za ukweli!
Ongeza mazingira machafuVijinchi vidogo dogo tena maskini vina hulka ya majigambo usiseme. Oh we are greatest nation on earth : barabara mbovu, ajira mashaka, afya mgogoro, ufisadi balaa, makazi duni, utawala hovyo etc etc
Katika taarifa ya habari ya star TV prof maghembe amesema Tanzania inahitaji watalii wa hadhi ya juu na sio masikini(wa bajeti)
Watanzania tuna mbwembwe,huu uchumi unaochechemea ndio tunaoringia!??
Sitakujibu kwa kuwa utaniharibia siku,kaangalie taarifa ya habari ya star tv kesho asubuhi kama wakirudiaKwanza mleta mada ni muongo, hayo ya umasikini ni maneno yako. Kama u mkweli weka nukuu ya sentensi ya Maghembe.
Halafu, ni masikini yupi duniani anaeweza kumudu kutalii?