Usikurupuke mwanamke! Hii kauli ni mara ya pili anairudia Magembe, Mara ya kwanza kauli hii aliitoa pale Chuo cha ushirika Moshi kwenye maonyesho ya utalii yanayojulikana KILIFAIR tarehe 3/6/2016!Kwanza mleta mada ni muongo, hayo ya umasikini ni maneno yako. Kama u mkweli weka nukuu ya sentensi ya Maghembe.
Halafu, ni masikini yupi duniani anaeweza kumudu kutalii?
Weka ushahidi.Usikurupuke mwanamke! Hii kauli ni mara ya pili anairudia Magembe, Mara ya kwanza kauli hii aliitoa pale Chuo cha ushirika Moshi kwenye maonyesho ya utalii yanayojulikana KILIFAIR tarehe 3/6/2016!
Prof Maghembe yuko sahihi. Ni lazima kuthibiti utitiri wa watalii hasa kwenye Bonde la Ngorongoro na mlima Kilimanjaro ambako mazingira yameanza kuharibika.Katika taarifa ya habari ya star TV, prof. Maghembe amesema Tanzania inahitaji watalii wa hadhi ya juu na sio masikini(wa bajeti).
-----------------------
Watanzania tuna mbwembwe,huu uchumi unaochechemea ndio tunaoringia!?
Ngorongoro crater increases Entry fee and Crater fee effective from July 01
Eee, walikuwa wamelala, wameamka Ghafla na kurise fees....
Hakuna kuwataarifu stakeholders wala nini......
Ngoja tuone mwisho wa hii movie...
Tutajifunza kuwa Tourism ni delicate business au ni mchezo mchezo
hii kauli ni ya kibaguzi kutolewa na waziri...
kwa akili ya namna hii, sidhani kama mzawa hatapewa kipaumbele ktk utalii.
Kwanza mleta mada ni muongo, hayo ya umasikini ni maneno yako. Kama u mkweli weka nukuu ya sentensi ya Maghembe.
Halafu, ni masikini yupi duniani anaeweza kumudu kutalii?
Weka ushahidi.
Nyongeza ni sahihi ila Wadau wangepewa notisi ya mwaka moja kwani wageni wengi hufanya booking na kulipa fedha mapema. Waziri aingilie kati hii nyongeza ya Ngorongoro Conservation Area Authority.
Hatutaki ma beach boy hao kwanza wanachafua mazingira na kuambukiza dada zetu magonjwa pmj na kufundisha vijana wetu kubwia unga, tunataka watalii wastaarabu wenye fedha, mtalii ambaye anakuja TZ siku 10 anaacha dola 10 000 anaondoka na siyo wa kushinda coco beach na forodhani Zanzibar tangu asubuhi kanunua chupa ya maji ya Kilimanjaro kwa Mangi na kula chips mayai au mihogo coco hao hatutaki wabakie huko huko, tuna uwezo kabisa wa kuchagua na kuvutia watalii wenye fedha za ukweli!
Prof Maghembe yuko sahihi. Ni lazima kuthibiti utitiri wa watalii hasa kwenye Bonde la Ngorongoro na mlima Kilimanjaro ambako mazingira yameanza kuharibika.
Naitwa Prof. ChapatiNaye ni kituko eti ni Profesa! Maprofesa wa Tanzania