Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Heri ya siku ya wapendanao faiza fox[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Hamo rapa uko wap
Pita hapa kuna fursa ya buree
 
Miss chaga bado hajatajwa??[emoji41][emoji41]

Happy valentain my miss chagga
 
Lol! Hivi nae tangu nianze kumzimikia hajawahi hata kunifikiria jamani nisaidie kumwambia labda atasisimka kidogo
Popote ulipo Mzee wetu kipenzi,rais utakayebaki kwenye mioyo yetu Watanzania milele...Mh. Jakaya Mrisho Kikwete sikia ombi la rubii.
Love is not a crime...
Nawasilisha [emoji4] [emoji120]
 
Popote ulipo Mzee wetu kipenzi,rais utakayebaki kwenye mioyo yetu Watanzania milele...Mh. Jakaya Mrisho Kikwete sikia ombi la rubii.
Love is not a crime...
Nawasilisha [emoji4] [emoji120]
 
Attachments

  • IMG-20170214-WA0040.jpeg
    IMG-20170214-WA0040.jpeg
    14.3 KB · Views: 35
Popote ulipo Mzee wetu kipenzi,rais utakayebaki kwenye mioyo yetu Watanzania milele...Mh. Jakaya Mrisho Kikwete sikia ombi la rubii.
Love is not a crime...
Nawasilisha [emoji4] [emoji120]
Rubii achana na wazee njoo tuyajenge
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cc geniveros
Naona babu katoa angalizo mapema nisijesema hakuniambia nikikuona hivyo kesho [emoji4]
 
Happy valentine day too, the most beautiful girl.... Uwe na upendo huo huo hata kwa wale watu wawili uliotibuana nao... Then Dina umesahau miss chagga ???
Ndio maana nakuaminia sana STUNTER utakuwa mwanaume mzuri sana kwa jje's ,
Wale watu sina shida nao ila wao wana shida na mim na siwafikirii kabisa ,nadhani umeona walivyo na matatizo bila kuniongelea siku kwao haiendii nadhani wanajipa faraja
Kuhusu miss chagga nimemsahau tu hapo unajua huwezi kumbuka hapo hapo watu wote,wapo wengiii sijawaorodhesha laki nawaaminia kwelii watu wangu wa nguvu
Happy valentines day
 
Popote ulipo Mzee wetu kipenzi,rais utakayebaki kwenye mioyo yetu Watanzania milele...Mh. Jakaya Mrisho Kikwete sikia ombi la rubii.
Love is not a crime...
Nawasilisha [emoji4] [emoji120]

Thank you Bebe Nifah
 
Back
Top Bottom