No......dadeq...Bora hata sikakutag maana ningekuwa cha kike leo!!!
Kesho wadada wafupi watakuwa kama vile vimtungi vidogo vya Oxyx...
Nimesikia wakaka flani wakisema.
But there is no man for every woman.There is a woman for every man. Don't run over someone else's man and no woman will run over your man.
ndiooo unataka kuona nilipomuweka?Aiseee....unamweka sehemu nyeti???? Hahaha
Miss you
...umenipaka mafuta wangu, tena kwa mgongo wa chupa!!No....
Wewe sitaki kuku expose kwenye wanga..
Nimekuhifadhi moyoni..
Naomba pokea wishes zangu kwa wingi saaana.Kesi hizi!! Mimi simo!!
Wacha nicheke mimi kwekweeeeeee=mtupu.
Thenkyuuuuuuu! barikiwa sana na ukawe na siku njema na ya furaha ya wapendanao!Naomba pokea wishes zangu kwa wingi saaana.