Una waume wa kukutosha humu, mimi ni nani nipate japo sehem ndogo ya moyo wakoHahaaaa!! Yaani nimesubiri wee unitaje hata hunitaji, we haya tu!!
Atoto hata sijui aliko.

Yaishe basumesema mwenyewe kosa langu liko wapi?
Raimundo
@iceman3D
Nyani Ngabu
RRONDO
@AZAREA
STUNTER
Matola
Nokia83
Heaven on Earth
ICHANA
warumi
Evelyn Salt
@jestikila
Jesca
Madame B
kan'tangaze
Diva Beyonce
geniveros
Happy valentines to you allView attachment 470337
Happy valentine rubii. Mwenyezi Mungu akulinde na kukutunza. Zawadi yangu kwako ni kukuombea ili ufanikiwe katika kila utendalo,uwe na amani furaha maishani mwako.
wanataka waone mwisho wakeJamani mimi mboni hamntaji.?
You are welcomeAm available dear!
Kugusanisha wanagysanisha kila siku,leo mwendelezo tuTusherehekee Valentino huku tukijihadhari na virus vya UKIMWI.Hii siku kuna baadhi ya watu wanaigeuza kuwa siku ya kugusanisha "positive and negative" charges Sorry to say this
Usinisingizie jamani!!Una waume wa kukutosha humu, mimi ni nani nipate japo sehem ndogo ya moyo wako![]()
![]()
![]()
nitachelewa bibi naomba wew wahi mim napatia supermakert kuangalia zawadi ikufaayo ....Maana leo najitolea kukupaa upendo kuliko watu wote JF ...usiniangushe bi mkubwa .
ukipata bimkubwa kama huyu akulee raha sana ....nahisi naikaribia bahati yangu .
Asantee![]()
Mbona mm sopo kwenye list?Raimundo
@iceman3D
Nyani Ngabu
RRONDO
@AZAREA
STUNTER
Matola
Nokia83
Heaven on Earth
ICHANA
warumi
Evelyn Salt
@jestikila
Jesca
Madame B
kan'tangaze
Diva Beyonce
geniveros
Happy valentines to you allView attachment 470337


