rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Ila kazi ya moyo ni moja tu,kusukuma damu sasa wewe umeiovadozi na kwa dakta tena
Anything for Him!
Ila kazi ya moyo ni moja tu,kusukuma damu sasa wewe umeiovadozi na kwa dakta tena
Utanikumbuka utapobaki mjane,hahahaThis proves you're cant take his place!!
Stay away! Niache na mkwere wangu
Utanikumbuka utapobaki mjane,hahaha
Duh basi we jilipue tu ata kwa HarmorapaAnything for Him!
NaRoho i radhi.
Ni heri nife mjane kuliko kuwa na Bwana wewe!!
Thanks Bro. Hope you have a great one.To my adorable angel Karucee na kaka yetu OLESAIDIMU
Uchochezi huu sasame nafata rangi huko kuzama au kuchomoza unajua wewe😀
ishara mbaya gani..?
hebu nipe valentine mmoja niuchochee vizuri..Uchochezi huu sasa
Skuile si uliwashindwa?hebu nipe valentine mmoja niuchochee vizuri..
alikimbia mwenyewe et likubwa!!,sijui hakujua mimi ni wa mkoani...! punda si punda dah! na nikilenga sikosi mbami bila siku zake wale jamaa zangu huwa wanamapanga hata nivae mfuko maalum wanatoboa tu! akaogopa akakimbia hapa mpk chozi limenidondoka...Skuile si uliwashindwa?
Aisee, tatizo amesema hujui kubembeleza, unampa amri ndomana kakimbia pia.. Sasa leo madem wote wapo busy, sijui utatoka na nanialikimbia mwenyewe et likubwa!!,sijui hakujua mimi ni wa mkoani...! punda si punda dah! na nikilenga sikosi mbami bila siku zake wale jamaa zangu huwa wanamapanga hata nivae mfuko maalum wanatoboa tu! akaogopa akakimbia hapa mpk chozi limenidondoka...
nimeshampata ngoja nikavinjari nae nimemwambia ntamuonga mwezi amekubali😀 V ya leo itaenda mwake coz anachura yamaanaAisee, tatizo amesema hujui kubembeleza, unampa amri ndomana kakimbia pia.. Sasa leo madem wote wapo busy, sijui utatoka na nani
Hakikisha unamfanya ashibe kwa muda wa miezi tisa ili heshima iweponimeshampata ngoja nikavinjari nae nimemwambia ntamuonga mwezi amekubali😀 V ya leo itaenda mwake coz anachura yamaana
waooh asante but am already taken
ha ha ha ha... hiyo lazima me huwa sikosagi lzm niongeze watu watakaokuja kuisumbua nchi kwa kugoma pasipo sababuHakikisha unamfanya ashibe kwa muda wa miezi tisa ili heshima iwepo