Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Wewe ni Mwanamke au mwanaume ili tujue aina ya ujumbe kulingana na jinsia yako
 
* VALENTINE IS COMING SOON.. 14/02/2017..... *,Naomba uninunulie tunda moja kati ya haya la Zawadi Ya Siku Hiyo:-
1. Nanasi- aliye bora zaidi.
2. Ndizi- mahusiano ya dhati.
3. Embe- mahaba ya kudumu.
4. Chungwa- mimi na wewe milele.
5. Apple- mapenzi ya moyoni
6. Limao- usaliti.
7. Pera- uaminifu wa kweli.
8. Parachichi- mapenzi ya muda.
9. Pasheni- urafiki wa kawaida.
10. Papai- asiye wa muhimu sana..
Mwenzio Nasubiria tunda utakalo nipa.
nine tuma kwako kwamaan we ndo kipenz cha moyo wangu. By ur ........................... Hiyo meseji kanitumia wife, ukiipenda ikopi
 
Wana jamvi naombeni ujumbe mzuri wa kiswahili wa valentine nimtumie kipenzi changu ambaye yupo mbali na mimi

Uwe mzuri sana mpaka apagawe kabisa na mimi mtoto wa kimakonde
Usipate shida bonyeza *150*01# ok then tuma pesa.

Msg itakayoingia kwenye simu yake ndio wanayopenda kuisoma wanawake wote duniani.

After that subiri wewe sasa ndio utatumiwa kila aina ya msg ya mahaba.

Huu ndio ukweli wengine watakudanganya tu.
 
jje's Kipenzi cha roho yangu... The apple of my soul...
The reason why Am breathing... I love u darling... Happy valentine day my love
Happy valentines hubby, live long and remember everyday is our valentine.
Love you every second
 
Love you Masunga Maziku
IMG_0019.GIF
 
Hello guys mkopoa nyie?
Nadhani nyote wazima, kwa wenye matatizo ya kiafya MUNGU awatie nguvu.
Kama nyote mnavyofahamu kesho ni siku gani kwa wasio fahamu kesho ni siku ya wapendanao VALENTINE DAY. So kwa yeyote ambaye ana mpenz wake humu (couples) au kuna mtu anampenda basi uwanja wenu huu. Mtag mtakie happy Valentine then mwambie maneno mazuri ya mapenz.
NIANZE MIMI.
Nakutakia happy Valentine the one and only kipenzi cha moyo wangu joanah
UJUMBE.
Nakupenda NAKUPENDA JOANAH sitachoka kusema kua NAKUPENDA, hata kama upo mbali na mimi na sijawahi kukuona lakini moyo wangu utaendelea kukupenda wewe tu. Hata kama huja ni approve mm kua naww lakini upendo wa upande mmoja ninaridhika nao. Listen my heart beat joanah it have been beating for you, NAKUPENDA JOANAH
DEDICATION SONG.
my love is unbreakable ___West life
Unamjua huyo Joanah au umependa jina na uchangiaji wake?shauri yako kuona kichaka unataka kunya
 
Happy valentines hubby, live long and remember everyday is our valentine.
Love you every second
Please maua yangu naomba uyapokee usiyachome moto... Cuz nikikuita Honey(asali) huwa unafurahia, sasa nitashangaa endapo utayachukia maua ya nyuki
 
Back
Top Bottom