Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Onesheni mapenzi mubashara kila siku jamani.. sio valentines day tu basi leo guest zoteee na hotel full ...na bora imekuwa siku ya kazi japo najua mmeshaweka booking kama nawaona hiviii afe kipa afe beki ...
HAPPY VALENTINES DAY EVERBODY..NAWAPENDA WOOTE
Mbona wewe umeanza kunipenda unapoona Valentine Day is just about to come
 
Hello guys mkopoa nyie?
Nadhani nyote wazima, kwa wenye matatizo ya kiafya MUNGU awatie nguvu.
Kama nyote mnavyofahamu kesho ni siku gani kwa wasio fahamu kesho ni siku ya wapendanao VALENTINE DAY. So kwa yeyote ambaye ana mpenz wake humu (couples) au kuna mtu anampenda basi uwanja wenu huu. Mtag mtakie happy Valentine then mwambie maneno mazuri ya mapenz.
NIANZE MIMI.
Nakutakia happy Valentine the one and only kipenzi cha moyo wangu joanah
UJUMBE.
Nakupenda NAKUPENDA JOANAH sitachoka kusema kua NAKUPENDA, hata kama upo mbali na mimi na sijawahi kukuona lakini moyo wangu utaendelea kukupenda wewe tu. Hata kama huja ni approve mm kua naww lakini upendo wa upande mmoja ninaridhika nao. Listen my heart beat joanah it have been beating for you, NAKUPENDA JOANAH
DEDICATION SONG.
my love is unbreakable ___West life
 
6dc46c590bdbadf54d83cb592ae10b0b.jpg
 
Masaidada mpenzi rudi mpenzio nilishakutafuta sana...!
 
Salamu zangu za Valentain zimwendee kipenzi cha roho yangu Mumy FaizaFoxy love sana! Uwe na maisha marefu hapa duniani na khera

Kesho tutakuwa Jumairah Beach tukipunga upepo wenye wivu na mjinyonge
 
Back
Top Bottom