Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Kesho wadada wafupi watakuwa kama vile vimtungi vidogo vya Oxyx...

Nimesikia wakaka flani wakisema.
 
hii ndo valentine!! uo uzi kama umeachwa vile!!! kama ni kweli pole.... otherwise if its a just message to them basi mororo
 
Valentine. Happy Valentine
Kama jina lako

Bila kumsahsu miss chagga
madam b madam c
Miss natafta and cute b
 
Kwa kawaida Valentine hua inaaza rasmi SAA ngapi na kufikia kilele SAA ngap? au INA mfumo kama mwaKa mpya.
 
Back
Top Bottom