Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Please maua yangu naomba uyapokee usiyachome moto... Cuz nikikuita Honey(asali) huwa unafurahia, sasa nitashangaa endapo utayachukia maua ya nyuki
Uwiiii kwan leo unaleta maua tena? Please change motion
 
Huu hapa 1. "Baby nimetaja jina lako kwenye orodha ya wauza unga" usisahau kuriport kituoni kesho! Take care! I love uuuuuu!
2. Nimekuta jina lako unahitajika kituoni kwa tuhuma za madawa ya kulevya, lakini nimemhonga penzi mbashara askari hadi kaamua kufuta jina lako! I love u my habiby ungenyongwa!

********* hizi vipi au niendelee?******
 
Nko kwa ajili yake my shem na analitambua hilo. Uzr sijawah ona mwenye mapenz ya namna yake[emoji85]
Haya mi nipo zangu uzi wa masingles huku mnaniumiza roho.....
 
Maajabu ya JF mwanaume anamtag mwanaume mwenzake. Heee!
 
Nko hapa dunian jst kwa ajili ya kuziba ila mbavu alotoa
[emoji23][emoji23]..
Afadhali unautendea haki ubavu wako...wengine siujui wanafikiri tuliwazawadia tuuu
 
Acha unafiki mkuu!!.......... Siku hizi unacomment so sincerely kisa umepata kimwana hapa JF! [emoji30] [emoji30] [emoji30]

Daah!! Mimi ni yule yule na akili zangu ni zile zile.. sina unafiki... Siyo kimwana sema vimwana...


cc: Kasinde
 
Back
Top Bottom