Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,048
- Thread starter
- #381
Sina mbavu uku ila jje's nitakua nae io siku labda upange nyingine.hayo mambo ya mubashara waache wafanye ambao hawajapevuka bado
Sina mbavu uku ila jje's nitakua nae io siku labda upange nyingine.hayo mambo ya mubashara waache wafanye ambao hawajapevuka bado
Si kwako,mbona unataka mambo yawe mubashara na tulisema iwe siri.hahahahahaha wapi huko mkuu Chacha
Valentine itself!Who wanna be my valentine_?![]()
![]()
Sina mbavu uku ila jje's nitakua nae io siku labda upange nyingine.

I'm doubting all of your past valentine moments ni za huzuni tu.Nawaza tu!.
Unaona sasa?? Ndio maana sipendagi kucheza na wewe kibaba na mama...Ntakaweka mezani kasije nipotezea nguvu za kike
Nimwache mara ngapi??? Nshamwacha siku miiiingi sana...hana jipya huyu achana nae
Jipe matumaini tu.Sina mbavu uku ila jje's nitakua nae io siku labda upange nyingine.
CheHuzuni? Me?! Never!
Napaisha mpaka cloud 9
Ya kweli haya unayoyasema ndugu!Huzuni? Me?! Never!
Napaisha mpaka cloud 9
Muulize mhusika akwambie.Jipe matumaini tu.
Unaona sasa?? Ndio maana sipendagi kucheza na wewe kibaba na mama...
Ntakuweka kwenye ignore list yangu.... Ohooooo!!
HahahaNtakuweka kwenye ignore list yangu.... Ohooooo!!
Khaaaaa.......!!!!
WaooooNimwache mara ngapi??? Nshamwacha siku miiiingi sana...
Mubashara ndo nini?Si kwako,mbona unataka mambo yawe mubashara na tulisema iwe siri.
Valentine itself!
