Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

sitaki kunufaisha watu kwa ghani zangu adimu.Labda nihamie kule kwenye ubinafsi.Sitaki watu wakatumia mistari yangu pasipo ridhaa.
Mbona io roho mbaya zamani hukua nayo,Ulikua unatupa tu mistari!..Au kwa vile ni mwezi wa nanii unataka ule peke ako.
 
uhamie wapi vile mbona sikuelewi
usijali, mistari itakufuata hukohuko shaka ondoa !Me mambo ya kunufaisha wengi sina muda nao. na sito taka uje hapa kutoa mrejesho wowote kwa yeyote.Itakuwa "our little secret"
 
Dah nina moments nyiingi kuliko maelezo ngoja niobe ya mwaka huu itakuwaje nitarudi kukwambia

lara 1 ukuje ukuu street pastor umetisher
 
Mbona io roho mbaya zamani hukua nayo,Ulikua unatupa tu mistari!..Au kwa vile ni mwezi wa nanii unataka ule peke ako.
mkuu watu wataninukuu na kwakuwa sheria zetu za haki miliki sio rafiki, wataenda kupublish mistari yangu kwenye vijarida vyao pasipo idhini yangu.
 
usijali, mistari itakufuata hukohuk😵ndoa shaka!Me mambo ya kunufaisha wengi sina muda nao. na sito taka uje hapa kutoa mrejesho wowote kwa yeyote.Itakuwa "our little secret"
Hahaha!..Let's see itakuaje.Alafu mambo ya siri ndo nini.Hamjui huu mwezi kila kitu MUBASHARA.
 
Back
Top Bottom