Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,048
- Thread starter
- #341
Sasa tunamsaidiaje ati!.Haelewi haraka huyu ati
Sasa tunamsaidiaje ati!.Haelewi haraka huyu ati
Uyo mpenzi wako ni "me" au "ke"?Naomba wimbo mzuri wa kumfaa mpnz wangu msimu huu wa Valentine
kwa jje'swewe unapenda upande upi?
Hahaha,ngoja "stunter" aje.kwa jje's
mkuu ndio unatangaza nia kabisa?Kote kote.Nawaza tu!.
huo unaitwa "uchochezi", hauruhusiwi kwenye taifa hiliHahaha,ngoja "stunter" aje.
Nia nishatangaza zamani nasubiri majibu tu!.mkuu ndio unatangaza nia kabisa?
hahahahahahhaha una utan na mr. wangu sio siriBasi umeshaelewa kumbe,sasa uo moyo ukitaka kufanya kazi zisizo zake ukabizishe kwangu ntaupa unachoki-deserve,sawa shemeji yangu mzuri?.
Sijachochea kitu,nimesema tu!.huo unaitwa "uchochezi", hauruhusiwi kwenye taifa hili
jje's njoo huku pls, vidume visije kumkaribisha mtoa roho kabla hata ya hiyo siku inayongojewa na wengi haijafika.Nia nishatangaza zamani nasubiri majibu tu!.
Kwani uyo "mr." uliumbwa nae?hahahahahahhaha una utan na mr. wangu sio siri
hana jipya huyu achana naeKhaaaa...!!!
uwiiii ni kama vile hivyoKwani uyo "mr." uliumbwa nae?
ipi hiyo mkuu Value?jje's njoo huku pls, vidume visije kumkaribisha mtoa roho kabla hata ya hiyo siku inayongojewa na wengi haijafika.
hivi ni kweli nimeshatanguliwa kwenye race mummy?hahahahahahhaha una utan na mr. wangu sio siri
hizo mbio zako unataka kuzifanya upande upi? I mean kwa nani? ili niweze kukujibuhivi ni kweli nimeshatanguliwa kwenye race mummy?
kwani umevamia thread pasipo kujua inahusu nini?ipi hiyo mkuu Value?
uwiiii wewe ni wapi tena? inauliza maswali halafu haijui inauliza nini au haitaki kujibu maswali in return.kwani umevamia thread pasipo kujua inahusu nini?
nilikuwa nina maanisha katika mbio za kutangaza nia, naona vijana wameshawahi. Nilikuwa nimepanga nichukue form ya ushiriki ila nimeghairi.hizo mbio zako unataka kuzifanya upande upi? I mean kwa nani? ili niweze kukujibu
umeghairi au huna nafasi? jieleze vzr bhananilikuwa nina maanisha katika mbio za kutangaza nia, naona vijana wameshawahi. Nilikuwa nimepanga nichukue form ya ushiriki ila nimeghairi.