jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
sitaki kusikia haya maneno kwa week hiz mbili niache mie moyo wangu ufanye kazi yake.Mama mama nimekuoa, Wacha mumeo nikatafute pesa... Niendapo kamwe wewe hapakufai... Mke wanguu tulia nyumbani
sitaki kusikia haya maneno kwa week hiz mbili niache mie moyo wangu ufanye kazi yake.Mama mama nimekuoa, Wacha mumeo nikatafute pesa... Niendapo kamwe wewe hapakufai... Mke wanguu tulia nyumbani
hahahahhahahaha taratibu mkuuMimi nmekwambia kwa siku moja tu,ila akikuacha bwana kaka njoo milele kwangu kuna nyumba ntakununulia bati lake lishapauliwa.
uwiii huo wimbo siutaki kabisaWacha wewe kisirani, kurudi leo nitawahiii....
Huyo alivo na wengi presha itoke wapi?Si ungemuulizia kule PM,mbona unataka umpe presha nanii!.
Okey bado nusu saa tuanze mambo zetusi 20:00 kama kawaida? Au umeghairi muda huo?
Unaskia raha kutaja taja jina langu ee. Uanze kulipia VAT sasa![]()
![]()
![]()
![]()
Vale Vale


Am here for u, until infinity... So no woriesuwiii huo wimbo siutaki kabisa
Hivyo hivyo najaribu kuadapt u mjini.Hahaha!.but u now know,sio?
Happy Valentines Day to all Jf Members kwa ujumla wake bila ya kuwasahau
N.B na wengine wote nawapenda sana
Acha wenge usemi upi sasa hapo?Samahani nidadavulie huo usemi hapo. Maana umenichanganya sijui kiswahili kimenipiga chenga au ni vipi
Happy valentine to all inamaanisha heri ya valentin wote halafu baada ya hapo unataja tena majina ambapo hayo majina tayari yanaingia moja kwa moja kwenye " wote". Mwisho tena ukarudia kile kile cha juuAcha wenge usemi upi sasa hapo?
Kwaiyo unatakaje?Happy valentine to all inamaanisha heri ya valentin wote halafu baada ya hapo unataja tena majina ambapo hayo majina tayari yanaingia moja kwa moja kwenye " wote". Mwisho tena ukarudia kile kile cha juu