Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Happy v-day kwa wote n bila kusahau wazee JIBAPA or JIZEE LA UPAKO or Lusekelo.....
 
uwiiiiii hutoki home leo nakwambia. hata kile kikoba siendi tena mie na weye
Mama mama nimekuoa, Wacha mumeo nikatafute pesa... Niendapo kamwe wewe hapakufai... Mke wanguu tulia nyumbani
 
Mwache atoke tu,ntakuja mimi uko kwako au unikute pale "tukutane otel."
hahahahahahah usiniharibie mambo yangu mkuu, ujue ndo tunapaua nyumba hata finishing bado.

sasa usije nitilia mchanga kwa kitumbua.
 
hahahahahahah usiniharibie mambo yangu mkuu, ujue ndo tunapaua nyumba hata finishing bado.

sasa usije nitilia mchanga kwa kitumbua.
Mimi nmekwambia kwa siku moja tu,ila akikuacha bwana kaka njoo milele kwangu kuna nyumba ntakununulia bati lake lishapauliwa.
 
Back
Top Bottom