Saa hizi ulikuwa unafanya nini mtandaoni??
Au ni reharsal kwa ajili ya "V" day.......
Babu binamu The Boss anaingiaje hapa? Naona kizunguzungu.
We acha tu.
My V wangu kanitosa kweupe ati tu siingii jukwaani.....amesahau kuwa nina tenda JLW?Babu Dark City....Valentine day kesho nitakuwa huko Tanga....mwambie bibi aniandalie chumba cha kulala, maana sitaondoka
mie msimu huu heaven on earth ndio my valentine naona... Madame B hata simuoni
kikojoleochini ya manywele kuna nini?
kikojoleo
kipo kama nyoka, huogopi kitakung'ata??hicho hicho ndo nakisemea mimi
Look on the brighter side. Enjoy it while it lasts.
Huwezi kuamini sasa hivi but ipo siku utamisi kweli kuwa alone miss neddy.
kipo kama nyoka, huogopi kitakung'ata??
mmh!me no nitakimeza
Me nasaka atakayekatiza ndiyo huyo!