mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,043
Yeah ruhsa weee wachagulie tu....
wewe hapo nyota yangu imekudondokea
Yeah ruhsa weee wachagulie tu....
unatoa kwa vifaa gani vile???
ngoja ukija utajua rafiki
Ndo mana nakupenda mwanangu...una akili nyingi kama honey wangu
nipo njiani:flypig:
kiwaishe kiwaishe kimzigo hicho nikifanyie kazi loh ni hiki kibaridi ndo balaaa
kunamzigo nimeagizwa kumbe!!!!!
haya manywelenywele?? unataka ukaniloge?angalia chini ya kitovu utakiona
chini ya manywele kuna nini?haya manywelenywele?? unataka ukaniloge?
hahahahahaha ajari kazini sio mbaya babu
Mi napenda iwe kikweli kweli