NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Mimi kuna huyu Mbingu Duniani ila hapo sijaona bado inayomfaa... kwa ajili yake labda ningejaza gari nzima afu namdondoshea kwake kama surprise ajaze nyumba nzima maua....
nitakuuwa wewe mie sifi kabisa niache raha za duniani
H.O.E utakua na valentine wangapi? Na kijihandsome kidogoo kutoka kwa Passion Lady utakiweka pembeni kwanza?