Mchagulie member umpendae zawadi ya maua katika ya haya kwa ajili ya valentine day kabla mwengine hajakuwahi🙂🙂
Sasa kama sina my valentine je
mie msimu huu Heaven on Earth ndio my valentine naona... Madame B hata simuoni
Sina.
We unaye?
Basi hili kwa ajili yako....
Thank you, kindly.